Natangaza rasmi...


kadi yako namba ngapi au ni walewale magamba
 
Hongera ndugu yangu. Nami natangaza kujiunga na Chadema rasmi baada ya kuondolewa nyoka huyo ambaye amekuwa akikikosha amani chama. Ni bora alivotokomea! Hurreeeeeeeee!

Hata mimi natangaza rasmi kuamia CHADEMA,hapo ndipo nilipowasifu,hamna kuogopana eti sijui fulani ni kada wa chama,ukikosea hata kama ni mwenyekiti unawajibishwa!NAWAPONGEZA CDM,nahamia CDM
 
Pole mkuu wangu.
 

kwani ulipojiunga na chadema ulituambia?.
nenda salama watu kama nyie hamna msimamo hata kwenye familia zenu
 
Kapi jingine hilo. Watajitoa mmoja mmoja kwa sababu wameshajua ndani ya Chadema mamluki wanashtukiwa. Jiondokee tu wala huna haja ya kujitangaza.
 
kwa hiyo atakakohamia ZZK ndo utahamia...??? Nina mashaka na reasoning capacity yako
 
Binafsi nilijua nipo peke yangu hapa Jf kwa kutokuwa na Chama. Mi ni muda tu nimeamua kutokuwa na chama. Kuna siku nilisimuliwa namna Z.Kabwe anavyokula CCM na CDM, nilishangaa sana. Lakini CDM wamechelewa saaaana.
Joka hiloooooo joka limeingia chumbani,CDM wamechachamaa majoka kuyatoa ndani..........enzi za mwalimu
 
Baada ya kutoka Denmark mwaka huu mwezi wa nne,nilipendezwa sana na chama cha CDM,ila kwa sasa,HAPANA

Book 7 ulienda Denmark kufanya nini? Ile biashara ya chama au? Kauze unga achana na CDM. CDM sio kama CCM ambako kina Sitta na Nape waliunda CCJ lakini wakapozwa kwa kupewa vyeo. Zitto alitaka uenyekiti kwa nguvu na kwa msukumo wa CCM ili CDM iwe CCM C kama CUF ilivyo CCM B. Chadema haiangalii makunyanzi hata Mbowe akichemsha anatupwa nje.

Tiba
 
mtakimbia wote....UNAFKI MBAYASANA....CDM sio CCM ...mtu mpaka anabaka MNAMTETEA
 
Mimi natangaza kukiamini cdm leo rasmi na kesho nachukua kadi rasmi.
 
kinachonosikitisha ni ule usemi wa mwalimu kuwa kiongozi bora atatoka CCMila haya yaliyobaki yanaamini kiongozi bora atatoka CDM aje kuiongoza CCM
 

nenda salama kwani chadema sio size yako naona ulikosea njia
 
jambo lilo jema sana na linalotutia moyo sana, ni kwamba huna impact yoyote kwa chama. ,yaani wewe uwepo au uondoke huna athari yoxote kwetu.. Ametolewa zitto na kitila ambao walikuwa very influential sembuse wewe?

usichokijua ni sawa na usiku wa giza.
 
bora umejiondoa mwenyewe, chadema siyo chama cha mashoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…