Natangaza rasmi...

Baada ya kutoka Denmark mwaka huu mwezi wa nne,nilipendezwa sana na chama cha CDM,ila kwa sasa,HAPANA
 
Unataka tujuw kama ulikuwa huko.....watu wa huo mkoa kwa ushamba hamjambo
 
Wakati unajiunga na chadema ulibandika uzi hapa? We zinamis
 
...kwa element za ukabila hufai kuwepo chadema maana agenda yenu ya ukabila haikufanikiwa...
 
Nenda ccm uko ukawe punda tutakuokota china au tunduma
 

Tumekuskia, safari njema..
 
unasubiri nini,. Hujafika tu??

Shame!!!
 

Binafsi nilijua nipo peke yangu hapa Jf kwa kutokuwa na Chama. Mi ni muda tu nimeamua kutokuwa na chama. Kuna siku nilisimuliwa namna Z.Kabwe anavyokula CCM na CDM, nilishangaa sana. Lakini CDM wamechelewa saaaana.
 
CDM kumbe mnara wa sabuni ikiachwa ndani inamomonyoka. Nilijua watakapojitambu wasio kina Mangi Vila ni mabwashe watatoka baruuu, huko watabaki matarumbeta na mavuvuzela.
 
Chadema haikuhitaji kwani wewe ni nani? Wafiachama wapo Mamilioni, Ukishuka wewe wanapanda elf kumi, Chezeya Chadema wewe.
 
Nenda na amani.
 
Jambo lilo jema sana na linalotutia moyo sana, ni kwamba huna impact yoyote kwa chama. ,yaani wewe uwepo au uondoke huna athari yoxote kwetu.. Ametolewa Zitto na Kitila ambao walikuwa very influential sembuse wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…