Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Kaa Kushoto wifi,nitakupa talaka kwa niaba ya kaka yangu,we jishaue tu.
ladyfurahia unatakiwa huku kuokoa jahazi najua maombi yatashinda nguvu za shetaniPepo limeingia kwenye ndoa Mkuu! Kamati ya maombi inatakiwa ifanye kazi hadi overtime!
Kaa Kushoto wifi,nitakupa talaka kwa niaba ya kaka yangu,we jishaue tu.
we mtoto wewe....... mama yako mdogo sina habari.
ladyfurahia unatakiwa huku kuokoa jahazi najua maombi yatashinda nguvu za shetani
Duh! Hyo sasa ni kali ya mwaka. Hivi una uwezo huo? Msalimie p@AmKATRINA.
Hahahaaa talaka itoke mara ngapi au ile ilikuwa talaka rejea???
Hii ya sasa ni talaka potea.
mh... Nicas Mtei umedelete nini???? Hahahaaa huo utakuwa uongo ndo mana umejistuki!
Huyo huyo mkuu.... Naomba tu nikiri kuwa shetwain alipita kando yangu!!!!!
hahahahaha. Nlikosea kuandka
Ulivyosahihisha mbona hukuandika tena?????
nadhani mpwa wangu huyu alikosea jukwaa au sredi...
Itakuwa kakosea sredi.... Tena ilikuwa ya jukwaa la siasa aiseeee!!! :becky: :becky:
I miss u dear...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
una nini na mtu huyu...nakuangalia tu ujue!!
Daddy wala hata usihangaike na mtu huyu.... Ni mbeba maua tu :becky:
Daddy wala hata usihangaike na mtu huyu.... Ni mbeba maua tu :becky: