Unataka mwenzako awe na umbo zuri we lako vipi?Sura je?Mfuko unalipa?
Unataka mwenzako awe na umbo zuri we lako vipi?Sura je?Mfuko unalipa?
Mkuu nina mdogo wangu ana figure ya nguvu. U just pm me i will show u the way. But what do u min with the legal marriege procedure.
Mie naomba nikusahihishe kwenye Takwimu. Si kweli ratio ya wanaume kwa wanawake kwa Tanzania ni hiyo uliyoitaja. Kwa mujibu wa letest census (2002), Mgawanyo ni Females are 17658911 while males are. 16910121. Kwahiyo ni 1:1.04Wapendwa wanaJF,naanza kwa kumshukuru mola kwa kuniweka hewani,yani hapa juu ya uso wa dunia. Katika kuuanza mwaka 2011 naleta lengo langu, nimependa kuwashirikisha Great Thinkers ktk kunsaidia kunsogezea ubavu wangu wa pili. Natangaza kuanza mchakato wa kumtafuta wa kuishi nae. Kwa ufupi nakaribia miaka 26,taalum mhasibu,afya njema,mtanashati,charming,wise in decision. WanaJF,si lazma nitafute wa kuishi nae hapa Jf,ila nautangazia ulimwengu kuwa nataka kupata mtu wa kuwa mama wa watoto wangu,kama una dada au ndugu si vibaya ukamtonya aingie kwenye kinyanganyiro. Kumbuka sensa ya 2008 ilitoa ratio 1:8 yani ili kila mwanamke aolewe, wanaume wote waliokuwa hai 2008 akiwemo waliozaliwa mwaka huo jumlisha na mapadre ilibidi mwanaume mmoja aoe wanawake wanane ili wote waolewe. Kwa iyo ni vema nafasi hii muitumie vizuri akina dada. Kwa ufupi, Vigezo: 1. Awe ni Mtanzania 2. Mwenye imani ya kuwa Mola yupo(mkristo_mkatoliki au muislam) 3.awe amepima magonjwa ambukizi. 4. Awe na umri kati ya 14-22(marriage ordinance nchini Tanzania inamruhusu binti kuolewa kuanzia miaka 14 ila atimize masharti.)pia atakuwa subject to probation period 5. Awe na elimu kuanzia f4 ila isizidi digrii ya kwanza. 6. Awe charming and conversant. 7. Awe anatokea Mbeya,Mwanza,na kagera peke yake. 8. Amna love experience inayohitajika. Hapa akiwapo bikira ndo atapata kipaumbele,pia awe tayari kufuata procedure ya legal marriage yani uchumba-ndoa. 9. Awe na figure la kumfanya baba asicheze mbali. Hapa ikumbukwe kuwa sitahitaji nyumba ndogo wala kutoka nje hata siku moja maishani,ivyo awe na figure ya ukweli yenye viwango vya kuridhisha. 10. All qualification carry equal weight. Note: kama wa vigezo hatopatikana ntatafuta mpaka niwe 30yrs ndo nibadili vigezo. Asanteni kwa kunielewa. MHASIBU.
Nawe tufahamishe basi, watokea mkoa gani kwani umehainisha hapa unaitaji mchumba kutoka mikoa mitatu tu (Mbeya, Mwanza na kagera) kati ya mikoa ishirini na saba plus mkoa mmoja wa majeshi ya Tanzania, pia nawe ni dini gani kwani hapa unataka mke kutoka dini mbili tu yaani aidha hawe mkristo wa dhehebu la kikatoliki au Muislam. Nje ya hapo haitajiki mpaka baada ya miaka minne utakapo badirisha vigezo.
Unaitaji mke aliyesoma minimum kidato cha nne na asizidi zaidi ya digirii ya kwanza. Je wewe kiwango chako cha elimu ni kipi?
Je huna creminal record yoyote ile? I mean kama wizi au udokozi hata wa mboga jikoni kwani nayo ni tabia mbaya kwa mtoto wa kiume au unasemaje?
Unahitaji mke mwenye umbo malidhawa, je wewe wajihi wako kiumbo upo vipi? Bwanyenye, tipwa tipwa, lakini mwenye afya au kimbau mbau mwiko wa pilau?
Unasema hawe amepima magonjwa ambukizi i.e Malaria. Je wewe binafsi unasema afya nzuri lakini umepima HIV na ukaonekana HIV hasi yaani negative!? Je Maleria!?
Unaposema kuwa hawe na "love experience inayohitajika" una maanisha nini? Hivi msichana kigoli mwenye umri kuanzia miaka 14, aliye bikra anaweza kweli kuwa na hiyo love experience? Je wewe vipi Bikra au wadada washakuchakachua? Maana bikra si kwa watoto wa kike tu, hata kwa wavulana kama wewe mnapaswa kuwa bikra pia au unasemaje?
Ni hayo tu kwa sasa.
niliwahi kushauriwa mtu mpaka kufikiria kuwa mke/mume ni lazima wamefahamia kwa muda.Lady sio kiivo,ni formality za kawaida,ni lugha tu ndo inaonesha ivo ila mi nlijaribu kueleza ili mtu apate picha nzuri. Au unashaurije?
Mie naomba nikusahihishe kwenye Takwimu. Si kweli ratio ya wanaume kwa wanawake kwa Tanzania ni hiyo uliyoitaja. Kwa mujibu wa letest census (2002), Mgawanyo ni Females are 17658911 while males are. 16910121. Kwahiyo ni 1:1.04
Kuna wanawake pia hawaolewi kwa taratibu za kiimani na afya km wanaume kwahiyo mwisho wa siku ratio inabaki ileile. Usihangaike kwenda kufanya reserch, bonyeza key board, search utaona. Tena huenda ikapungua maana wanawake wana life span kubwabasi chanzo chako kina uhakika kama changu kimechakachuliwa nahaidi kurudi library/research kufanya upya,ila bado sio 1:1 it means demand and supply haijalingana,ikumbukwe kuwa kuna wengne hawaoi kwa taratibu za imani,afya na kadhalika so,ratio imbalance inaweza kubaki ile nliyotaja au vp mkuu!?
niliwahi kushauriwa mtu mpaka kufikiria kuwa mke/mume ni lazima wamefahamia kwa muda.
mara nyingi mke/mume anapati
1) around mahali unapoishi/ulipokuwa unaishi be4
2) shuleni/chuoni
3) kwenye nyumba za ibada
4) ofisini ie mfanyakazi mwenzio
5) kupitia frends ingawa sio kwa % kubwa sana
huku kwenye .com:nono::nono:πlayball:πlayball:
Kuna wanawake pia hawaolewi kwa taratibu za kiimani na afya km wanaume kwahiyo mwisho wa siku ratio inabaki ileile. Usihangaike kwenda kufanya reserch, bonyeza key board, search utaona. Tena huenda ikapungua maana wanawake wana life span kubwa
kama una kigezo kimoja kile cha no.10 tunaweza kaa mezani kujadiliana. Karibu.