Natangaza nia ya kwenda jimboni Kalenga...

Home boy Kipipili!

Nikiwa mwana Iringa kijana nakupongeza kijana mwenzangu kwa uamuzi wako!

Nakushukuru pia kwa kuamua kujitolea! Iringa kwa ujumla imekuwa na uwakilishi ; pengine naweza sema wa kiimla kwa muda mrefu sasa na matokeo yake mimi na wewe tunayafahamu.

Ushauri wangu ni kuzingatia vipaumbele vifuatavyo

Jimbo la Kalenga linayo rasilimali kubwa sana kiuchumi UTALII na ukiacha juhudi za binafsi za wadau wa sekta hiyo ni kiasi kidogo sana kimetokana na msukumo wa viongozi waliokuwepo na waliopo! Hii nafasi pekee inaweza kuwaajiri vijana wengi sana wa eneo hilo.

Kalenga pia kwa kuwa jirani na Mji wa Iringa inayo nafasi ya kuuuhudumia mji huo kwa nyanja zote; Kama mawasiliano ya barabara yataimarishwa; Basi huduma nyingi amabzo si lazima zibanane mjini Iringa zinaweza kuhamishiwa huko; esp kwa maeneo kama Tosamaganga; Kiwere, Nduli na Kalenga yenyewe hii itaharakisha maendeleo ya maeneo husika na kukuza kipato cha wakazi wako; Hivi sasa naona linafanyika upande wa elimu na huduma za hospitali tu lakini lingewezekana hata katika makazi ya wanafunzi na mahoteli na masoko ya bidhaa za kilimo ama minada ya bidhaa hizo mfano zao la tumbaku.

Nakutakia kila kheri!
 
Kipipili hongera sana kwa uamuzi wako wa kutanganza nia, kumbuka Kalenga ni jimbo kubwa na yenye changamoto nyingi - ili uweze kukubalika na kushinda kiurahisi zingatia mambi yafuatayo:
1. hapa mibikimitali tuna tatizo la shule, maji, afya na barabara, njoo na mipango ya kueleweka utafanya nini juu ya hii
2. Kalenga pamoja na kuwa jirani na mjini na kuwa mji wa kihistoria bado huduma muhimu za kijamii kama afya na elimu ni duni sana, - njoo na mkakati juu ya hili
3. Pale Magulilwa wanazalisha sana mahindi na mazao mbalimbali lakini masoko ni tatizo, wananchi wanalanguliwa na hawafaidi matunda ya kilimo, pembejeo ni tatizo na kuna urasimu wa kuzipata hasa zile za ruzuku, pamoja na kuwa na uwezo wa kuzalisha na kulisha sehemu kubwa ya iringa bado huduma za afya, elimu maji safi nayo ni tatizo - njoo na mkakati - walai watakupigia kura ukiwa na mkakati dhabiti
4. Pale Ng'eza, mlanda, nyabula, mgama, ifunda hadi lungemba mhemshimiwa mkuu wa mkoa wa Mw.... ameanza kampeni mapema - watarifu timu maaana huu ni uvunjifu wa sheria ya uchaguzi
5. Nina mengi ya kukupa ila lete cv yako ili wana kalenga tuone kama una sifa za kuwa mbunge- tunatakaka mtu dhabiti na si chama
 
Ninakukwambia kipilipili Kandoro humuwezi n'goo. Siyo uje kwa tiketi ya CHADEMA hata uje kwa tiketi ya CHAEMA au CCJ hupati kitu wewe. Mnandadia tu. Hivi unafikiri kupata ubunge ni mzaha. Acha wewe. CCM is a visonary and a strategic party
 
tupe jina na CV Mkuu tuone, wenzako kwenye TV wanajitaja mbona?. usije ukawa fiswadi
 
Ninakukwambia kipilipili Kandoro humuwezi n'goo. Siyo uje kwa tiketi ya CHADEMA hata uje kwa tiketi ya CHAEMA au CCJ hupati kitu wewe. Mnandadia tu. Hivi unafikiri kupata ubunge ni mzaha. Acha wewe. CCM is a visonary and a strategic party

Vision na strategy yao ni ipi haswa? Let me guess, kutudidimiza ktk umaskini.
 
Afisa Elimu Wilaya ya Pangani........Bw Kisiga alitangaza nia yake ya kugombea kwa tiketi ya CCM...........yupo confident sana na amepata siri nyingi za faulu za Kandoro.

Jipange vizuri!!
 
Kwa jimbo kama Kalenga ni vigumu sana kwake kupambana na Kandoro, ni miongoni mwa majimbo ambayo kazi ilishakamilika kabla ata ya kura za maoni.
 
Ninakukwambia kipilipili Kandoro humuwezi n'goo. Siyo uje kwa tiketi ya CHADEMA hata uje kwa tiketi ya CHAEMA au CCJ hupati kitu wewe. Mnandadia tu. Hivi unafikiri kupata ubunge ni mzaha. Acha wewe. CCM is a visonary and a strategic party

Kumbe sasa nimekupata..Now i know wewe ni nani!nilkuwa nahangaika bure...
 
Nyie wagombea mbona mnaogopa hata kutaja majina yenu na kuweka CV zenu hapa?

Leteni CV zenu tuzichambue kwanza hapa na tuone kama zimejaa.
 
Back
Top Bottom