Natangaza nia ya kwenda jimboni Kalenga...

kipipili

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
1,590
183
Ndugu wanajamii,

Napenda kuwatangazia kuwa leo nimeungana rasmi na wanajamii waliotangaza nia ya kugombea ubunge mwaka huu kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA)(Mnyika, Saitama Kein, Tonge, GS).

Nimechukua fomu za awali ili niweze kupendekezwa na chama changu kugombea ubunge katika jimbo la Kalenga katika mkoa wa Iringa.

Kalenga ni moja ya majimbo mawili yaliyopo katika wilaya ya Iringa vijijini jingine likiwa Isimani linaloongozwa na Lukuvi. Natambua chanagamoto zinazotukabili upinzani lakini naamini inshaalah mwaka huu tutawatoa jasho ili ile asimiia zaidi ya 60 ya wabunge (of course wa CCM) tuwaondoe ifikapo oktoba.

Ni imani yangu kuwa wale wote wenye mapenzi mema na hatma ya njii hii watatuunga mkono. Kwa wale wote wenye taarifa zozote kuhusu jimbo hili ambazo wanaona zitakuwa "opportunity" kwangu wasisite kunijulisha . Nategemea msaada wenu wa hali na mali.

Asanteni
 
Mzee Kandoro ameanza kampeni mwaka wa tatu huu...amegawa mabati na misaada kibao akijinadi! Jipange vizuri
 
Knock urself out
Thanx, I will knock you and your CCM out, that is for sure as per analysis. Hiyo moja.

Kuhusu seriousness, I am very serious ndiyo maana siyo tu nimetia nia bali nimechukua fomu ili niteuliwe kuwa mgombea.

Tatu, mwakalebela is vying for Iringa Municipality

Nne, kwa taarifa zilizopo kandoro ametangaza kujiondoa kugombea baada ya kufanya faulo nyingi za kampeni kabla ya wakati.

Tano, Chadema hatushindani na CCM kwa kutoa rushwa, tunawashinda kwa hoja.

Ok, lets cut the chase and lets say unayosema ni kweli...hebu tujuze kwa utuo kipi kipya tutegemee kutoka kwako, as an individual.
 
Ok, lets cut the chase and lets say unayosema ni kweli...hebu tujuze kwa utuo kipi kipya tutegemee kutoka kwako, as an individual.
Ninayosema ni kweli, udadavuzi zaidi utakuja wakati wa kampeni.
 
Kila la heri katika safari yako. Nakutakia Mema na Mungu wangu awe nawe katika ndoto zako.
 
Let us know after election.......Hope utashinda jipange and take care si unajua Tanzanian politics....Iwill check with you during u'r campaign ,keep it bro!!!!!!
 
Hope you are not hurrying to tie what you cannot untie!

Ndugu yangu nakuomba tu ijiepushe na lugha ya matusi wakati wa kampeni kwani kumbuka he who spit at the sky end up soiling his own face! watch out, and I wish you the best of luck, cause you need it1
 
Funga buti, wasiliana na GS, Nakaaya na wengine mjipange vyema. KIla la kheri !
 
Ulikuwa wapi siku zote kuishi huko na kuona changamoto za maendeleo za watu wa jimbo hilo unalokwenda kugombea? Sio opportunist wewe?
 
Hii ni hatua ya kwanza na nzuri kufikia ndoto yako. Yasome mazingira ya wapiga kura wako vyema na mapungufu uliyoyaona upande wa pili na nini mustakakali wa wapiga kura wako endapo wataendeleza yaleyale. Waeleze unataka kufanya nini kwa kushirikiana na wao, na pia waeleze jinsi walivyofanywa daraja la kufikia ng'ambo ya pili kwa kipndi kirefu. Pamoja kuwa wewe ni pipili, epuka kuwasha kwa matusi ila washa zaidi kwa sera zenu pamoja na kuiainisha pasipo shaka fursa ambazo wamekuwa wakinyimwa wapiga kura wako ingawa ni haki yao ya msingi.

Nakutakia kila la kheri katika safari hii muhimu uliyoianza! Nenda, usiangalie nyuma
 
Thanx, I will knock you and your CCM out, that is for sure as per analysis. Hiyo moja.
Kuhusu seriousness, I am very serious ndiyo maana siyo tu nimetia nia bali nimechukua fomu ili niteuliwe kuwa mgombea.
Tatu, mwakalebela is vying for Iringa Municipality
Nne, kwa taarifa zilizopo kandoro ametangaza kujiondoa kugombea baada ya kufanya faulo nyingi za kampeni kabla ya wakati,
Tano, Chadema hatushindani na CCM kwa kutoa rushwa, tunawashinda kwa hoja.
Asanteni

Kabla ya majigambo yote hebu tupe CV yako mkuu
 
Hongera sana Kipilipili..Do we have ur name Makao Makuu?if not please lete jina lako mapema na mafunzo kwa wagombea yanaanza tarehe 1 Juni yaani wiki ijayo.
 
Back
Top Bottom