Natangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo maskini liliopo kisiwani Mafia.
Matatizo.
HAKUNA BARABARA.
SHULE MATOKEO MABOVU KIDATO CHA 4
UVUVU. WANANCHI WAHANGA NA MIRADI YA KIFISADI.
BARA BARA. Ufisadi wa kukarabati kwa kutumia matope huku fedha zikiliwa
AFYA. Hali mbaya.
NIA NI KUWAKOMBOA WANANCHI WA MAFIA
NAOMBA MNIUNGE MKONO JAPO KWA USHAURI
Mbunge wa sasa ameshindwa lkn ilikuwa hamna mbadala
Kasome kwanza Siasa za Mafia, Si unajua watu wa kule walivyo na Njaa ya Pesa??!! Halafu siyo wa Kweli. Muulize Buji atakuambia. Ukimbau bado una nafasi, Na ujue kuwa 2015 mchuano utakuwa zaidi ya 2010.Jikumbushe pia 2010 Ni mambo gani yaliyojiri katika uchaguzi ule!
chama cha makamba ohoo!sori magamba kimejvua na wananchi wote tunajua maana ya kujivua/kujiuzuru.kwa iyo 2015 hakitapata kura hata moja...kama vipi pitia CUF au CHADEMA tutakuuga mkono lakini kwenye magamba uko hapana..........je baadae magamba yakikomaa tena??????au ujawahi kuona jani lililododnoka linarudi juu mtini??? kwa ccm inawezekana usishangae!!
Siasa ni kama soka. Unaweza kuwa na sera safi, lakini kama huna fitna, I mean mipango miji, ni bure! Kwa kuanza ningeshauri upitie Chama cha Wananchi, CUF. Kwa fitna zingine ni-PM!