Natangaza nia Jimbo maskini la Mafia 2015

Kirongwekwetu

Member
Apr 14, 2011
11
1
Natangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo maskini liliopo kisiwani Mafia.
Matatizo.
HAKUNA BARABARA.
SHULE MATOKEO MABOVU KIDATO CHA 4
UVUVU. WANANCHI WAHANGA NA MIRADI YA KIFISADI.
BARA BARA. Ufisadi wa kukarabati kwa kutumia matope huku fedha zikiliwa
AFYA. Hali mbaya.
NIA NI KUWAKOMBOA WANANCHI WA MAFIA
NAOMBA MNIUNGE MKONO JAPO KWA USHAURI

Mbunge wa sasa ameshindwa lkn ilikuwa hamna mbadala
 
Soma alama za nyakati kwanza ikiwa pamoja na kuweka mipango thabiti na mikakati ya kukufanya uweze kukubalika.

Kwa mtazamo wangu, sasa hivi huko Tanzania watu hawatazami Chama bali wanatazama mmgombea ana uchungu kiasi gani na maendeleo ya jamii ile.
 
Kasome kwanza Siasa za Mafia, Si unajua watu wa kule walivyo na Njaa ya Pesa??!! Halafu siyo wa Kweli. Muulize Buji atakuambia. Ukimbau bado una nafasi, Na ujue kuwa 2015 mchuano utakuwa zaidi ya 2010.Jikumbushe pia 2010 Ni mambo gani yaliyojiri katika uchaguzi ule!
 
ushashindwa wewe maana hapa sio sehemu ya kutangazia nia nenda kwa wananchi. zaidi ya hapo u are just westing our time
 
chama cha makamba ohoo!sori magamba kimejvua na wananchi wote tunajua maana ya kujivua/kujiuzuru.kwa iyo 2015 hakitapata kura hata moja...kama vipi pitia CUF au CHADEMA tutakuuga mkono lakini kwenye magamba uko hapana..........je baadae magamba yakikomaa tena??????au ujawahi kuona jani lililododnoka linarudi juu mtini??? kwa ccm inawezekana usishangae!!
 
Jaribu, ila fahamu kuwa warabu wa pemba sisi, twajuana kwa vilemba, usije ukajutia muda wako bureeeeeeee
 
Siasa ni kama soka. Unaweza kuwa na sera safi, lakini kama huna fitna, I mean mipango miji, ni bure! Kwa kuanza ningeshauri upitie Chama cha Wananchi, CUF. Kwa fitna zingine ni-PM!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom