28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
bado naboresha, na kuhakikishia baada ya siku chache nitaongeza channel nyingine nyingi tu. Ahsante kwa mrejesho wakoHongera sana mkuu. Nimeinstall na naona I napiga kazi fresh. Ila kama vp one za local chanel kama itv, start TV nk.
sawa kiongozi nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi na pia baada ya siku chache nitaiweka play store, kwa hiyo hizo karaha zitaondokaMdau kazi nzuri ila ifanyie mpango ipate certificate maana si vitisho hivyo inavyotoa mara haiko safe na karaha kama Hizo pia fanyia kazi muonekano wake uwe auto rotate.
Ahsante ndugukila la kheri katuka kuileta tanzania ya viwanda na technology
Ahsante kiongozi nafanyia kazi hilohongera sana mkuu keep it up tuongezee channel mkuu
nashukuru kwa mrejesho wako, nafanyia kazimkuu iko poa sana tu fanya utuwekee local channel zote
Ahsante kwa mrejesho naomba nikuhakikishie kwamba baada ya wiki moja, (jumamosi ijayo) nitaleta kwaajili ya windows na baada ya hapo nitawatazama watumiaji wa appleMkuu sie WA window phone umetusahau mkuu maana nimeidownload hiyo application haisupport
Ahsante nduguHongera mkuu.
Pamoja Sana mkuuAhsante kwa mrejesho naomba nikuhakikishie kwamba baada ya wiki moja, (jumamosi ijayo) nitaleta kwaajili ya windows na baada ya hapo nitawatazama watumiaji wa apple
Channel za movies nitaziongeza kwa hilo ndugu naomba nikutoe hofuMkuu nimeipenda bure !! Movie channels mkuu ndo kaugonjwa kangu !