Natamani wazo la Rais Magufuli lifanikiwe...

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Wazo au Nia ya Rais Magufuli ikitekelezwa ni nafuu kwa Watanzania.

Kwanza kurahisisha uanzishwaji na kufanya biashara.. Hapa TIC, Brela, TRA na TBS....

Pili: kupunguza utitiri wa kodi

Tatu: ukadiriaji wa kodi...uwe wa haki bila kuua mtaji au kukandamiza kodi kubwa...

NNE: kuvutia walipa kodi wengi, yaani kuwa na tax base kubwa

Tano: TRA wawe rafiki....wasiwe na hila au vitisho

Sita: TRA watoe elimu kwa watu

Note: % ngapi ya kodi inatakiwa kukatwa kwenye net profit?

Je kuna formula maalum ya kucalculate kiwango cha kodi ili kuondoa wasi wasi?

Mfano PAYE inaeweka
 
Unachokitamani mkuu na mimi nilikuwa nakitaman lakin kama ameweza kuongea vile ile jana basi soon tutayaona matokeo mana hajuagi kupindisha
 
Wazo au Nia ya Rais Magufuli ikitekelezwa ni nafuu kwa Watanzania.

Kwanza kurahisisha uanzishwaji na kufanya biashara.. Hapa TIC, Brela, TRA na TBS....

Pili: kupunguza utitiri wa kodi

Tatu: ukadiriaji wa kodi...uwe wa haki bila kuua mtaji au kukandamiza kodi kubwa...

NNE: kuvutia walipa kodi wengi, yaani kuwa na tax base kubwa

Tano: TRA wawe rafiki....wasiwe na hila au vitisho

Sita: TRA watoe elimu kwa watu

Note: % ngapi ya kodi inatakiwa kukatwa kwenye net profit?

Je kuna formula maalum ya kucalculate kiwango cha kodi ili kuondoa wasi wasi?

Mfano PAYE inaeweka
Time will tell.
 
Wanaomkwamisha Rais Magufuli ni sisi wenyewe. Maafisa wa TRA au Polisi ni watoto wetu....Rais kaongea lakini utashangaa wapo maafisa wanapiga hela bado. Inafika pahala Rais anachoka hata kutumbua. Sote tufanye kazi tumsaidie Rais wetu nchi ipige hatua haraka ya maendeleo.
 
Kunachonikera NI hawa wanaitwa BRELA kwenye usajili wanataka kitambulisho cha taifa, wakati kitambulisho hakijamfikia kila mtu. Huku kwetu watu wengi wameorodhesha majina lakini kitabulisho hawajapata na hivyo kukosa haki ya kujisajiri BRELA
 
BRELA wanashindwa kutumia common sense

Kuna kadi ya mpiga kura, kuna drivers License..zote ni taasisi za Serikali

Hawa Brela wana jua Kitambulisha cha Nida kinatoka baada ya muda gani?

Hivi ndio vikwazo ambavyo Rais alisema maofisa wa Serikali wanakwamisha wafanyabiashara..

Sasa hapa watu watajisajili rasmi kivipi? Ili kuongeza walipa kodi..
 
Hilo ndio tatizo la kukariri mambo ...wanapaswa kujiadjust kwa kutumia vitambulisho vingine....haya mambo ndio yanatufelisha kama Taifa.
 
BRELA wanashindwa kutumia common sense

Kuna kadi ya mpiga kura, kuna drivers License..zote ni taasisi za Serikali

Hawa Brela wana jua Kitambulisha cha Nida kinatoka baada ya muda gani?

Hivi ndio vikwazo ambavyo Rais alisema maofisa wa Serikali wanakwamisha wafanyabiashara..

Sasa hapa watu watajisajili rasmi kivipi? Ili kuongeza walipa kodi..
Tubadilike twende na kasi ya awamu ya tano.

Zama zimebadilika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom