Natamani tuendelee kusherehekea

kwani hawa ni kina nani?
 
Mbona kama watoto wameoa? Au walikuwa wanacheza baba na mama.
 
Hongereni kwa uamuzi mlio chukua,walio changia hapo juu naona bado wapowapo sana!!
 
mnh hao watoto wadogo wanacheza shoo o ndo bwana harusi na msimamizi?
 
Congratulations guys, welcome in a 'club' where you'd wish you couldn't have joined in a first place. You'd get used to it at least after ten ti 15yrs.
 
Hawa wanaonekana kweli ni watoto, Naona kama bibi harusi hana furaha ya moyoni...
 
Mbona kama watoto wameoa? Au walikuwa wanacheza baba na mama.
Hahahahaha! sio watoto ndio vijana wasiku hizi wanapenda kusukuba magari bakubwa makubwa at wanadai yana speed zaidi!
 
bibi harusi na matron mbona midomo sare sare?
 
jamaa ss anakuwa na uhakika kila siku sio nyie mnamangamanga
 
Nimependa rangi ya suti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…