Elly ceejr
Member
- Dec 24, 2016
- 51
- 17
Hujaweka academic info. Tutakushaurije?
Kiufupi tu kule ni sehem ambako hakuna formula.
Wewe hata Kama una ndoto ya kuingia kule fanya kazi nyingine wakati huo unasubiria kule.
Vinginevyo utasubiria mpaka utazeeka na bado hujapata kazi.
Subiri nafasi zikitangazwa za kujiunga JKT peleka maombi yako ofisi ya DCHabar za muda huu wana jf
Mimi ni kijana wa miaka 25+ niende moja kwa moja kwenye maada ndoto yangu kubwa ni kuwa soldier tokea nikiwa mdogo nilikuwa nataman san kuwa mjeda ila muda ulikuwa hujatimia ila kwasas naona ndio muda mwafaka baada ya kuhitim shahada . lengo LA hii thread ni kutaka kujua wapi pakuanzia au kuna process gani ili niweze kufanikiwa katika hili ? Karibun kwa maelezo na ushauri pia.
Pole sana mkuu..!!Duh yani nashindwa nikushaur nini kamanda huko ni kugumu sana kama hauna refa utaliwa pesa zako sana na matapeli, mimi yalishanikuta ayo
Unafanyaje kazi nyingine huku unasubiria mzee???? Lazima usacrifice miaka kama mi3 ya kupotezaaa inawezekana ndo ukabahatishaa ila kama mambo yenyewe hata President ameshindwa kuajiri makamanda wapya na aliwaahidi aisee jamaa asipoteze mudaa... labda kama amesoma Udr au course ya science yenye manufaaa kwa jeshi... Otherwise fanya mambo mengine tu mkuuKiufupi tu kule ni sehem ambako hakuna formula.
Wewe hata Kama una ndoto ya kuingia kule fanya kazi nyingine wakati huo unasubiria kule.
Vinginevyo utasubiria mpaka utazeeka na bado hujapata kazi.
Subiri nafasi zikitangazwa za kujiunga JKT peleka maombi yako ofisi ya DC
Ukimaliza miaka miwili ya JKT unaweza bahatisha ajira ya jeshi
Academic info kam zip mkuu ....
Nimesem nimemaliza shahada ya kwanza ya uhasibu .
Mbona kuna mtu ameniambia Mwezi huu anaenda Kambini TANGA hii ikoje Mkuu? Au mimi ndio sijaelewa Mkuu!Jkt hawachukui vijana kwa sasa , subili 2020 /2021
Tanga kuna mafunzo ya JW mkuu?Labda Anaenda kozi ya jw siyo JKT. HII AWAMU TAABU TUPU
Shika ulichonacho mkuuAsant kwa ushaur mkuu..
Kwasas ni mfanyakazi ila napenda ujeda sn.