NATAMANI SANA KUWA MJEDA WAPI PAKUANZIA

NATAMANI SANA KUWA MJEDA WAPI PAKUANZIA

Elly ceejr

Member
Joined
Dec 24, 2016
Posts
51
Reaction score
17
Habar za muda huu wana jf
Mimi ni kijana wa miaka 25+ niende moja kwa moja kwenye maada ndoto yangu kubwa ni kuwa soldier tokea nikiwa mdogo nilikuwa nataman san kuwa mjeda ila muda ulikuwa hujatimia ila kwasas naona ndio muda mwafaka baada ya kuhitim shahada . lengo LA hii thread ni kutaka kujua wapi pakuanzia au kuna process gani ili niweze kufanikiwa katika hili ? Karibun kwa maelezo na ushauri pia.
 
Asant kwa ushaur mkuu..
Kwasas ni mfanyakazi ila napenda ujeda sn.
Kiufupi tu kule ni sehem ambako hakuna formula.
Wewe hata Kama una ndoto ya kuingia kule fanya kazi nyingine wakati huo unasubiria kule.
Vinginevyo utasubiria mpaka utazeeka na bado hujapata kazi.
 
Habar za muda huu wana jf
Mimi ni kijana wa miaka 25+ niende moja kwa moja kwenye maada ndoto yangu kubwa ni kuwa soldier tokea nikiwa mdogo nilikuwa nataman san kuwa mjeda ila muda ulikuwa hujatimia ila kwasas naona ndio muda mwafaka baada ya kuhitim shahada . lengo LA hii thread ni kutaka kujua wapi pakuanzia au kuna process gani ili niweze kufanikiwa katika hili ? Karibun kwa maelezo na ushauri pia.
Subiri nafasi zikitangazwa za kujiunga JKT peleka maombi yako ofisi ya DC

Ukimaliza miaka muwili ya JKT unaweza bahatisha ajira ya jeshi
 
Kiufupi tu kule ni sehem ambako hakuna formula.
Wewe hata Kama una ndoto ya kuingia kule fanya kazi nyingine wakati huo unasubiria kule.
Vinginevyo utasubiria mpaka utazeeka na bado hujapata kazi.
Unafanyaje kazi nyingine huku unasubiria mzee???? Lazima usacrifice miaka kama mi3 ya kupotezaaa inawezekana ndo ukabahatishaa ila kama mambo yenyewe hata President ameshindwa kuajiri makamanda wapya na aliwaahidi aisee jamaa asipoteze mudaa... labda kama amesoma Udr au course ya science yenye manufaaa kwa jeshi... Otherwise fanya mambo mengine tu mkuu
 
Una hamu ya kazi ya jeshi au una hamu utundikiwe nyota mabegani na kifimbo mkononi ili uwe unatembea kwa kudeka?Anyway, huo ulikuwa utani tu.Wazalendo mnazidi kuongezeka.Fuatilia na Mola atakunyooshea njia.
 
Am sorry nilikuwa sijaona.
Ila kama unataka jwtz kwa shahada hiyo hapo anza kufikiria jkt kwanza.
Ila jkt nako kuna challenges ukizingatia vijana wa intake tatu wamekutana makambini mpaka 2018/19 hawajachukua vijana wa kujitolea ili kuepuka msongamano.
Hii awamu ya tano ni heri kuangalia mkono uende mdomoni na si kuangalia ndoto.
Academic info kam zip mkuu ....
Nimesem nimemaliza shahada ya kwanza ya uhasibu .
 
Ukipata nishtue na mimi mkuu maana iyo kazi naizimia sana
 
Asubili nafas za jkt afu awe Na mbuyu....
 
Back
Top Bottom