Natamani sana kujibiwa haya mwaswali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani sana kujibiwa haya mwaswali.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by vivian, Apr 10, 2012.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Edson:
  Kwanini umechagua avatar ya picha ya Mzee Mugabe akiwa amezimia kwenye sofa?

  sikumbuki majana ya hawa.

  1. Kuna member ana avatar ya m2 aliyebeba jeneza kwenye pikipiki

  2. kuna member mwingine ana avatar ya maiti ya wale wananchi waliouliwa na askari kule nyamongo halafu maiti ikawa imesuswa na wananchi barabarani.

  Naombeni kama wahusika mtapata ''chance' ya kuiona hii thread minipe majibu, huwa nikiangalia avatar zenu najaribu kujiuliza maswali yanayoishia kukosa majibu.
   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  nadhani ya kwangu haimo ngoja waje.
   
 3. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  yako haina utata. inaonyesha unapenda comedy movies. au nimekosea dadiito?
   
 4. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  We subiri tu mama! picha za Msiba wa Kanumba zitageuzwa Avatar!
   
 5. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Noo! Napenda adventure na action movies mamiito.
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kwa kumbukumbu
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  hili neno......
   
Loading...