Asante kwa kunisemea Mzee wa Rula. Maana kama mabadiliko yangekuwa yanaweza kupatikana CCM basi tungeshayaona. Lakini kwa bahati mbaya kila tukisubiri unafuu ndiyo tunaona magumu kuliko. Kikwete alipoingia alibeba tumaini jipya la watanzania, lakini hali ya nchi ni mbaya kuliko alivyolikuta. Sasa mabadiliko gani mengine niyatarajie kutoka CCM?Unafikiri anakataa ila miaka hamsini akifanya tathimini ya mabadiliko anaona kabisa hakuna uwiano unaomridhisha ndiyo maana akachagua upinzani.
Kama unazosifa kwanini uendelee kusubiri, kaza nia mkuu njoo ujiunge na harakati za kurudisha heshima ya Taifa letu!.......PIPOZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ.. NADHANI NATAKIWA KUMALIZIA NA PAWAAAA
Taratibu utazoe Chadema ni Powerrrrrhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh hiyo pawa uliyotoka nayo huko utaiacha tu ila karibu sana
wana jf nilikuwa natafuta sababu za kukihama chama changu ccm, na nimezipata! They say chadema ni ya wasomi, vijana na wanamapinduzi. Hizo sifa ninazo! Nataka kuikacha ccm, na kama nikiwa mzee na yenyewe bado ipo, mi nitarudi tena!! Cdm nipokeeni....
Lukolo! mabadiliko yanapatikana hata ukibakia hapo hapo ulipo[/QUOTE
Acha kumdanganya mabadiliko ameyangoja sana lakini amekuwa akiwasikia watu wakipokezana tu walewale walio kwenye kikundi cha kuikomba nchi. akitokea mwingine anapikiwa majungu mapka akome kisa pale kwenye kichungu hagusi mtu. umesahau zali na mizeengwe ya Nape na Lowasa? Tambwe Hia yuko wapi? kajipendekeza ngawaiya, yuko wapi? rejea maneno ya Kitine, Mangula, Kolimba, Sumaye, Malima na wengine, kipi kimebadilika? ufisadi umepigiwa kelele na ndiyo kwanza unachanua, Mabadiliko huko hakuna mwenzangu nitafute tu nikupe kadi uwe huru kimawazo na kimtazamo.
Wana JF nilikuwa natafuta sababu za kukihama chama changu ccm, na nimezipata! they say chadema ni ya wasomi, vijana na wanamapinduzi. hizo sifa ninazo! Nataka kuikacha CCM, na kama nikiwa mzee na yenyewe bado ipo, mi nitarudi tena!! cdm nipokeeni....
kwani ulipokua huko uliko ulimshauri nani we nenda kwa padriwako mpora wake za watu sijui mtaongoza nchi gani nanani awape mkazidishe udini .
Wana JF nilikuwa natafuta sababu za kukihama chama changu ccm, na nimezipata! they say chadema ni ya wasomi, vijana na wanamapinduzi. hizo sifa ninazo! Nataka kuikacha CCM, na kama nikiwa mzee na yenyewe bado ipo, mi nitarudi tena!! cdm nipokeeni....
Kwani ukiwa mwanachama unanufaika na nini?.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2