Lukolo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 5,143
- 3,209
Asante kwa kunisemea Mzee wa Rula. Maana kama mabadiliko yangekuwa yanaweza kupatikana CCM basi tungeshayaona. Lakini kwa bahati mbaya kila tukisubiri unafuu ndiyo tunaona magumu kuliko. Kikwete alipoingia alibeba tumaini jipya la watanzania, lakini hali ya nchi ni mbaya kuliko alivyolikuta. Sasa mabadiliko gani mengine niyatarajie kutoka CCM?Unafikiri anakataa ila miaka hamsini akifanya tathimini ya mabadiliko anaona kabisa hakuna uwiano unaomridhisha ndiyo maana akachagua upinzani.
Last edited by a moderator: