Natamani sana kuhamia CHADEMA.

Natamani sana kuhamia CHADEMA.

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,303
Reaction score
17,827
Wana JF nilikuwa natafuta sababu za kukihama chama changu ccm, na nimezipata! they say chadema ni ya wasomi, vijana na wanamapinduzi. hizo sifa ninazo! Nataka kuikacha CCM, na kama nikiwa mzee na yenyewe bado ipo, mi nitarudi tena!! cdm nipokeeni....
 
hata mimi natafuta kadi yao sijui nitaipata wapi. Lakini mimi siendi huko kwa kuwa ni msomi, bali nakwenda huko kwakuwa nataka mabadiliko.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Lukolo! mabadiliko yanapatikana hata ukibakia hapo hapo ulipo
 
mm nataka kwenda huko ili litakapofunguliwa bilicanas mpya na mimi niwepo kwenye uzinduzi
 
hahaha ni mtazamo tu! we shda yako ni burudani tu?
 
Karibu lakini usijiunge tuu kwa sababu ya sifa hizo, Cdm ni chama cha wote wasomi na ambao hawajasoma , wakulima na wafanyakazi, wavuvi na wafugaji, wafanyabiashara na wasiofanya biashara , wenye dini na wasiokuwa na dini , wanafunzi na ni ya watanzania wote .

Nakutakia mafanikio kwenye jamii mpya ya Cdm .
 
Kama unazosifa kwanini uendelee kusubiri, kaza nia mkuu njoo ujiunge na harakati za kurudisha heshima ya Taifa letu!.......PIPOZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ
 
Karibu sana CDM Mkuu umefanya maamuzi mazuri sana kuwakimbia magamba, chama cha kifisadi na kidhalimu ambacho pia kinanuka rushwa iliyokithiri.
 
Paroko! sijavuta bangi kwa miaka 7 sasa. kchwani bado nipo safi.
 
Tena unachelewa mkuu njoo tuendeleze mapambano ya kulikomboa taifa hili,nakusihi uwe mvumilivu na mwenye dhamira ya dhati ya mabadiliko,utakutana na kauli chafu toka kwa nepi na wengineo kuwa nyie ni oil chafu,vumilia,virungu toka kwa policcm vumilia na dhuluma kibao vumilia,hakika utakuwa kamanda wa ukweli.....
 
Wana JF nilikuwa natafuta sababu za kukihama chama changu ccm, na nimezipata! they say chadema ni ya wasomi, vijana na wanamapinduzi. hizo sifa ninazo! Nataka kuikacha CCM, na kama nikiwa mzee na yenyewe bado ipo, mi nitarudi tena!! cdm nipokeeni....

Karibu sana.
 
Kama unazosifa kwanini uendelee kusubiri, kaza nia mkuu njoo ujiunge na harakati za kurudisha heshima ya Taifa letu!.......PIPOZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ.. NADHANI NATAKIWA KUMALIZIA NA PAWAAAA
 
karibu kamanda achana na lichama la waganga wa kienyeji na wala rushwa, na wauaji,,,, wafitini na waongo miaka 51 bado mnatangaza ahadi mpya??? karibu kwa makanda amabapo serikali itakuwa mikononi mwa wananchi, wananchi wakisea no , ni no serikali inasikiliza, sio hili liserikali la dk rushwa (jk) ambaye hata yeye hajui kwanini nchi ni maskini, anawajua wala rushwa ahachukui hatua, anawajua wauza madawa ya kulevya anawachekea coz wanampa mgao, yeye furaha yake ni kuona watz wanakufa na njaa uchaguzi ukifika wawape mahindi ya masaada na ng'ombe na pilau na nyama.... karibu cdm
 
Kwani ukiwa mwanachama unanufaika na nini?.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Nenda lakini ujiandae kwa kupigwa mabomu. kama sivyo labda usiende kwenye fujo zao.
 
Kwani ukiwa mwanachama unanufaika na nini?.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2

Napata maarifa kwa walionayo, nadhani nikiwa cdm nitatapata akili zaidi Yakukabiliana na maisha haya magumu.
 
Back
Top Bottom