Natamani niwe mlevi

Pombe ni chakula jamaa yangu! Unakunywa kiasi kama unavyokula kiasi......!!!!
Naifahamu pombe vizuri rafiki yangu...utakunywa kwa kiasi kama hauna stress na hauna kampani....ikukute umevurugwa na walimwengu halafu umejaa hasira wala hutakumbuka kama umepitiliza kiasi aiseee....ni muda tu ndio utakupumgua
 
Na mimi nilianza hivyo hivyo....sitamsahau shemeji yangu mke wa brother alikuwa ananipa vi ledds, eti hizi za wanafunzi by that time niko advance nagonga maana ye vilikuwa havikauki kwenye friji...daaah badae mbona ye ndio alibaki kuwa mwanafunzi...
 
Ndo ivo mkuu japo sie wengine tulianza na valeur
 
Na mimi nilianza hivyo hivyo....sitamsahau shemeji yangu mke wa brother alikuwa ananipa vi ledds, eti hizi za wanafunzi by that time niko advance nagonga maana ye vilikuwa havikauki kwenye friji...daaah badae mbona ye ndio alibaki kuwa mwanafunzi...
[emoji23][emoji23] Pombe UKIWA na pesa taamu sana
 
Naifahamu pombe vizuri rafiki yangu...utakunywa kwa kiasi kama hauna stress na hauna kampani....ikukute umevurugwa na walimwengu halafu umejaa hasira wala hutakumbuka kama umepitiliza kiasi aiseee....ni muda tu ndio utakupumgua

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1431][emoji1431]
 
Malizeni bia zote kiwanda kifungwe.

Napenda Saba wine na nikiwa high nisex na mwanaume wa kweli. Napenda nipige kelele za Ile Raha Hadi majirani waje kuamulia.

Pombe Raha ila unywe kiasi na usinywe kila siku
 
@Mama Edina [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…