Natamani niwe kana diva loveness

Natamani niwe kana diva loveness

Kusini kuchele

Senior Member
Joined
May 21, 2023
Posts
121
Reaction score
687
Hivi kuwa kama diva loveness love natakiwq nifanyeje? Yaani wanaume wanipapalikie,wanaume wanishobokee,nipate ofa ya bure kila ninapoenda,yaani kiujumla nipendwe na wanaume bongo mzima na nikipaka make up nivutie kila mtu au wanaume watokwe na mate naomba mniambie nifanyeje? Ila nishaanza mazoezi ya sauti,kutembea na kuvaa

Kiukweli mimi namuona anafaidi na anakula hela ya bure tu kwa jinsi wanaume wanavyomtamani na kumpapalikia aisee
 
Inasikitisha Sana.
 
Utakubali kuwa single Maza ? Sifa unazozitaja ni sifa za kuishi single na kupata wa kukata kiu ila fainali itakuwa mateso
 
Nenda kwa mganga
 
images (2).jpeg
 
Utakubali kuwa single Maza ? Sifa unazozitaja ni sifa za kuishi single na kupata wa kukata kiu ila fainali itakuwa mateso
Nliisikia hio nyimbo ya single mother sijui kaimba nani anasema yeye hana mpango na wanaume mpango wake ni kua na watoto tu kwa hio akitokea mwanaume wa kuzaa nae analishwa tu na akitokea mwingine anazalishwa tena yeye lengo ni kua na watoto tu na sio kuishi na mwanaume
 
Olewa wewe acha umalaya huo ukishafubaa unakua hauna dili tena zaidi zaidi unakua ushavuliwa chupi na idadi kubwa ya wanaume tu basi
Na hela anakuwa hana! Wanajaribu kuiga akina Kim kardashian ambao hata wakiwa single wanazeeka na maokoto
 
huyu ni diva mwenyewe oya diva njo inbobo upate muhogo wa jang'ombe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom