Natamani nisioe...!

Natamani nisioe...!

ema nuel

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
570
Reaction score
577
Habari wakuu poleni na majukumu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza kiukweli kabisa kutoka moyoni imefika hatua sitamani kabisa kuoa , sina hisia kabisa na mrembo yeyote yule na nimemaliza takribani mwaka na ushee hivi sijawahi tongoza mwanamke yeyote yule wala kuwa na uhusiano na mtu na najiona fresh tu niko sawa.

Naishi maisha ya kawaida tu pesa si haba kwangu japo bado napambana nifike napo taka, nimepitia mahusiano kadhaa katika safari yangu ya kutafuta wife material lkn hayakuweza kufikia lengo.. yupo mrembo 1 alie yachanganya sana maisha yangu to totally crazy lakini baada ya mda nilikawa osawa

Umri wangu unaenda mbio kama saa mbovu, i wish ningekuwa na mke natamani sana lkn nimefika mda sina hamu kabisa ya mwanamke hata hisia ziko mbali japo genye zinazingua sometimes.
Changamoto kubwa nayoipata ni kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki ndugu wanataka nioe kwa hali na mali, marafiki zangu wengi wameshaoa nimebaki mwenyew na ubachela sugu kuna wakati natamani nihame niende mkoa wa mbali na huku home lakini changamoto ni kazi niliyonayo mana ni binafsi na lazima niifanye huku niliko
Kwa mawazo yangu binafsi nilitaka nikae mbali kabisa na home ili kuepukana na presha ya ndugu na marafiki niwe free kabisa niiishi maisha yangu safi mpaka mwisho or hata nikioa na 35 + fresh tu..
Ushauri tafadhali.....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo aya ya mwisho ndio unatakiwa ufanye hivo Sasa!
isije lazimisha kuoa ukamtesa binti wa watu kwa ukosefu wako wa nyege
 
Mkuu izo ela unaziona nyingi sababu huna majukumu..
Ukioa utaziona sio kitu..

Unaitaji mtu wa kukufumbua macho problem is unafikiria sana vitu vya nyuma bado hujaamua kumove on..

Tafuta mda kaa chini jitafakari upya kwa nini mwanzo ulikuwa sawa na sasa umechange..?

Alafu usisahau kusali sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una jini!!! jini ulotupiwa ili usiwe na hamu ya kuoa? kalitoe hilo jini
 
I think u are a gay and in denial, deep down inside your heart unajua unatamani nn ila huwezi sema publicly, nimekuelewa!
 
Back
Top Bottom