@ausha,baba mngoni ,mama mchagga.......
......wa kwanza alikuwa mhaya, bishoo sana, very bright , home kwao nusu ulaya
Huyu alinisumbua sana, na alinipotezea sana kujiamini ilifikia wakati hata 1+1=2 naomba confirmation kutoka kwake
utoto +dharau zake zilinifanya NISHINDWANE NAYE.(Thanks God amejiingiza mwenyewe kwenye kula UNGA ni msomi anayefungiwa getini kwao asitoke maana ni nusu mwehu)
........wa pili and i used kujidangannya the last ni mmassai aliyekulia AR tokea utotoni.Huyu nilimpata kanisani, mwanakwaya, from low class family, working for TOUR OPERATORS, MCHA MUNGU ila naona kila dalili ya kutoswa as days go on.
Naumia sana.
Note:NATAMANI NINGEKUWA NINA 50 yrs old (bibi) UNGEKUTA SISUMBUKII chochote kuhusu mapenzi na dunia zaidi ya kukumbuka harakati za ujana nlizopitia.
nizae na mtu ni mtu.....au nifanyeje na nsipokuwa na mme rasmi itakuwa mateso maishani?ila huyu mmasai nampenda sana siwezi mwona akiwa na msichana mwingine blood vessels zitapasuka.
kweli dia nimekosa wa kuwa mme (not just mwanaume ni mwanaume)yaani na ujanja wako wote unakosa mwanaume my dia?
ukitaka kupata mwanaumme mzuri we tulia tu watakuja wenyewe,usiishi kwa kupretend
kuwa na hulka za kike.inaelekea wewe unalazimisha mapenzi ndo maana yanakutesa.huyo mmasai unamngangania wa nini? kama hakutaki huwezi badilisha kitu
songa mbele
kwani nikoje????????SIJAKUSOMAmabibiiii na mabwanaaaaa!kwa mara nyingine tena,huyu hapa.....maryiiiiiii tinaaaaaaa!
kwa hhuu umri bado ntateseka sana kwenye hii dunia na vijiumbe viitwavyo mumeKwani una miaka mingapi sahv?
nikipata chance ya kulala na mmasai wangu one more time ntazichukua hata zikiwa kwenye kondom nikajimimbe nampenda sanaWe vipi bana, wawili ushaanza kuchanganyikiwa?
Go on... wa tatu, wa nne, wa tano, wa sita, wa saba... then hapo unaruhusiwa kuanza kuchanganyikiwa...
kama ni mtoto, mbona hata huku JF mbegu zipo?
kama una 50 bado una kiu ya kuwa na mpenzi utakuwa kichaahehehe Marytina bana, Kuna vibibi vipo 50 na bado mziki wake unaweza ukaomba maji. Ile kitu samtaimu haina umri bana. Hivi madonna ana umri gani?
kweli dia nimekosa wa kuwa mme (not just mwanaume ni mwanaume)
kama ni wanaume wa kupeana kampani sichukui hata 2 hrs bila kumnasa, thanks GOD my body inaniuza haraka
hapa nazungumzia mume na si hawara
huyo mmasai kama vile anapassword zangu za luv yaan sikubali
no huyu ndiye niliyekuwa na hisi kumwaga nikashindwa kuushinda moyo manake nampenda sanaHivi huyu masai ndiye uliyedondokea kwake baada ya kuongezewa mshahara?
achana naekweli dia nimekosa wa kuwa mme (not just mwanaume ni mwanaume)
kama ni wanaume wa kupeana kampani sichukui hata 2 hrs bila kumnasa, thanks GOD my body inaniuza haraka
hapa nazungumzia mume na si hawara
huyo mmasai kama vile anapassword zangu za luv yaan sikubali
Come down baby... he will be there for u...nikipata chance ya kulala na mmasai wangu one more time ntazichukua hata zikiwa kwenye kondom nikajimimbe nampenda sana
kwa hhuu umri bado ntateseka sana kwenye hii dunia na vijiumbe viitwavyo mume
Sawasawa kungwi husninyo. Mmalizie doziusiruhusu mateso, usiruhusu majeraha ya moyo.
smile dear nielekeze kila kitu ntakubali ila sii cha kuachana na huyu mmassai.achana nae
kwa nini ujitese ?