Natamani ningekuwa mbunge wa chadema!

mwacheni azame kwenye lindi la posho, cdm kazeni mwendo, 2015 siyo mbali, Mungu atakuwa upande wenu. niliskikitika sana kwa jinsi wanavyo risk afya zao kuna picha moja nilimwona mbowe akila kwa mama ntilie pale laela -sumbawanga ,pale hata mimi ningesita kula. sasa mwingine huhu jf anabwabwaja kuhusu posho! kubwa jinga
 
unaweza kujiita kuwa u mwanacdm, lakini kwa post hii hata huku kwetu ccm hatukutaki maana sasa hivi tunajivua magamba na watu wenye akili unazoweza kuzielezea kwa kusoma maandishi yao hawana nafasi tena, TUNAJIVUA GAMBA
 

Wa CCM si wako kwenye posho za kamati na wengine ni mawaziri?
 

Mawazo ya MATAKONI si lazima uchutame ndipo uyatoe, kutokana na ukuaji wa teknolojia unaweza kutoa hayo maoni au mawazo huku ukiwa unatumia PC keyboard.
Hongera kwa maendeleo.
 
'Mliowachagua wamewatoselea mbali' Unaelewa ulichoandika hapo kweli?! Kwamba wewe na wenzako ndio mliwachagua Chadema, hivyo mna haki miliki yao!! Hao Watanganyika wa vijijini hawastahili kuonana nao na kuwasikiliza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…