Natamani mwisho wa dunia ufike

Leo nlikuwa nasikiliza Radio Kasibante Mtangazaji nguli Richard Leo amethibitisha kuwa Bukoba bila sh 3000+ hupati mboga mboga aina ya Kabeji. Nikasema wallah twafwa. Manake watu wazima badala ya hata kufikiria kupunguza makali ya tatizo wao wako busy na kadi ya Slaa
 
Usitende dhambi ya kukata tamaa,we pambana 2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…