Paloma
JF-Expert Member
- Jan 22, 2008
- 5,331
- 4,956
Mpwa ni kweli kabisa, sio kweli mara zote akina Mama wako negative kwa kila kitu , No No, hawa watu resource nzuri sana ya kila kitu. Unakaaa kimya kwa vitu ambavyo labda unaona ukiongea itakua purukushani kubwa zaidi sasa ili kuzuia hayo yote unakaa kimya halafu unajua nini asubuhi kukipambazuka namtekenya kidogo, mwanzoni ilikua ngumu but now amezoea kuwa tukishatofautiana kitakachofuata kesho yake ni tekenyo.....
CC: Smile Paloma Little Angel Fidel80 na wapwa zangu wengine dudu morning
dudu morning ngo lugha gani Elli au leo hujafanya tekenyo?!?!
Elli kuna watu wengine wako hivi🙁tena bahati mbaya mwanaume) akikuongelesha ukaamua kunyamaza kimya ili kuepusha sahri anasema unamdharu. ukimjibu sasa, anageuza hayo uliyomjibu kama silaha yake sasa na ugomvi ndo unacotton fire! Ubinadamu kazi.............
Last edited by a moderator: