"Natamani Mpenzi wangu asafiri"

"Natamani Mpenzi wangu asafiri"

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,204
Reaction score
99,943
Ndoa nyingi zina shida, zinaumwa, zimechoka na zipo kwajili tu ya mazoea (tunaishi basi tu),watoto hawana tena malezi mema, haipiti wiki bila kununiana japo kwa muda (mnapeana half time).

Juzi katika pilika zangu za maisha ndipo tukiwa tunafanyiana counselling mmoja wa victim akasema kwa maumivu makali snaa kuwa, angetamani sana japo mpenzi wake (female/male??) asafiri apumue kidogo....Mapenzi yanapofikia huku, ni kipindi cha kila mmoja kuonyesha misimamo positive, kukimbia, kusafiri, kumuombea msiba/kifo au kuwa na KIDUMU hailipi hata kiduchu.

Kama mwaka 2012 ulikua mwaka wenye matatizo na changamoto katika familia, basi 2013 ni muda wa kurekebisha, yaache na kuyasahau yaliyopita, na MUNGU wangu awapiganie muwe na NDOA takatifu na kuwalea watoto katika malezi bora.

Ona mifano hii, wewe je nini uzoefu wako? Sizungumzii GF na BF please

My wish was granted at last; alimmimba Housegirl wangu. Iliuma kwakuwa ni msichana wa kazi, ingekuwa sisterdo nisingeumia l think. Anyway, I think hakuwa moyoni saaana.
Mimi nilifikia wakati nikatamani acheat ili aniwache NIPUMUWE!
Siku zote silaha yangu kubwa kuendelea kuwa na amani na furaha, ni kujifunza kusamehe na kusahau...Ni ngumu lakini inawezekana
 
Mimi nilifikia wakati nikatamani acheat ili aniwache NIPUMUWE!
 
Mimi nilifikia wakati nikatamani acheat ili aniwache NIPUMUWE!
Duh kweli tunatofautiana, haya sasa akisha-cheat inakuaje? mi nadhani niki-cheat my wife wangu atajua tu
 
Ukiwa na mawazo hayo jua u mdhaifu.Kama kweli Imara fanya yote utakayo akiwepo ili ajue anapaswa kufanya nini.Unafiki wa mapenzi mbaya MNO!!!!!!!
Hatasafiri na hakucheat ng'o!Nampenda sana mke wangu.Mungu bariki.
 
Kwa wale wenye kutamani wapenzi wao wasafiri hata kufa ili wapumue, wajaribu kufikiri kama wapendwa wao nao wakiwatakia hayo wanayowatakia itakuwaje? Kutamani mtu asafiri si jibu. Kwanini msifikirie njia za kuboresha uhusiano wenu huku mkitafuta njia ya kuboresha mahusiano ambayo si mulua? Je akisafiri unadhani utapumua milele? Nawashaurini mkae chini na kutafuta majibu ya uhakika kwa kuyaelekea matatizo yenu vilivyo badala ya kutamani kuyaahirisha. Kuahirisha matatizo ni kuyamwagilia maji yachanue na kuzaliana na kuwamaliza. Ni ushauri tu. Nawatakieni mwaka mpya wenye majibu yatakayowawezesha kupumua milele na si kwa kitambo kidogo.
 
Duh kweli tunatofautiana, haya sasa akisha-cheat inakuaje? mi nadhani niki-cheat my wife wangu atajua tu

He was chocking me, pia nafikiri sikuwa nimempenda as l should. Nilikuja gundua baadaye!

It was taking me to work, picking me up, he can't go out without me; akiwa na safari anataka nitafute ruhusa twende wote etc. Sikuwahi wish hivyo kwa mtu mwingine yoyote!
 
mmmh hauumii?

My wish was granted at last; alimmimba Housegirl wangu. Iliuma kwakuwa ni msichana wa kazi, ingekuwa sisterdo nisingeumia l think. Anyway, I think hakuwa moyoni saaana.
 
Siku zote silaha yangu kubwa kuendelea kuwa na amani na furaha, ni kujifunza kusamehe na kusahau...Ni ngumu lakini inawezekana
 
My wish was granted at last; alimmimba Housegirl wangu. Iliuma kwakuwa ni msichana wa kazi, ingekuwa sisterdo nisingeumia l think. Anyway, I think hakuwa moyoni saaana.

Pole bibie, ndoa zina mambo....dah!!!!!
 
hahaha nimecheka eti i wish asafiri, hii hutokea pale unapogundua umependa sehem siyo inatesa sana hii kumek changes hususan kama ndo mshakua mme na mke inabaki ningejua
 
He was chocking me, pia nafikiri sikuwa nimempenda as l should. Nilikuja gundua baadaye!

It was taking me to work, picking me up, he can't go out without me; akiwa na safari anataka nitafute ruhusa twende wote etc. Sikuwahi wish hivyo kwa mtu mwingine yoyote!

ok ok basi tuombe ili mwaka ujao uwe wa mafanikio ya ndoa, sio maumivu ya ndoa, unaonaje Mpwa??
 
Siku zote silaha yangu kubwa kuendelea kuwa na amani na furaha, ni kujifunza kusamehe na kusahau...Ni ngumu lakini inawezekana
Haha sasa naona leo kila mtu anatoa ushuhuda wake moyoni, mie huwa nakaa kimya kabisa, hata aniongeleshe vipi najizuia nisimjibu, anajua vyema but then tunaendelea vziru tu, huwa nasamehe on spot wakati anaongea ndio maana huamua kukaa kimya nisijibishane nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom