Natamani mpenzi wangu achepuke,a 'experience the difference'

pole mkuu.. mi yalinikuta hayo... nimemfanyia vibweka... kila aina ya kituko.. ila nilivyojifanya mwehu akili zimeniruka.. mbona aliniacha mwenyewe!
nakushauri kuwa chizi tu..!
 
Sasa kama ulilijua hilo kwa nini ulimpotezea muda wake.Wewe ni mharibifu na malaya sana.Baada ya kumuondolea thamani yake umemchoka kiasi ya kumwombea wanaume wengine,unataka kumfanya jamvi la wanaume.Ulaaniwe.
mkuu...bikira ina thamani.?
 
wakuu mda mwingine wanawake wanazingua.....mtu upo nae...anawaza kuolewa tu....wengne wanaboa...kwel
 
We ndo wakujionea huruma sijui unakitafuta kitu gani zaidi. Yaan unaona raha kubadilisha mademu bora huyo huwazi cha msingi jitahidi uishi nae vizur huenda mungu akakujalia akawa mama watoto wa baadae
 
Zero wisdom generation
 
Hiyo hata mm ishanitokea lkn kwanza ndo kamaliza form four anataka tuongee mpk saa tisa usiku,pili nikiwa busy anamind, nikiwa kazin anataka tuchat kila time, simu ikiwa busy shida yani kanapenda mpk kero ila nkajua kisa hajawahi kupigwa sehem nyingine
 
Mkuu hilo no janga,na ukimtosa gafla anaweza kujinyonga walai

Anza kumpotezea taratibu taratibu mwisho wa siku atapata akili tuu kuwa hapa sio penyewe

Huwa wanatia huruma sanaa
 
dah nna mtihani kama huo bandugu, yani sijui hata nifanyaje , mi kiukweli sikumpenda nlimfuata kwa ajili ya bikra yake kwani sikuwahi kutoa bikra hapo kabla , yani dah inatia huruma kwa kweli
Mkuu mpe majaribu kimya kimya atapata ufahamu tuu

Nilikutwa na zengwe kama hilo yaan ni kero balaaa,kwasababu mm mtu wa mtungi mwisho wa siku akaona hapa hakuna future...akajitenga kistaarabu kabisa nilishukuru sana

Kaolewa mwezi 10 mwaka jana na nilimpa hongera mimi bado nipo nipo mawazo ya ndoa sina kabisa

Bado sijaonja ladha nyingi sana km kidoti,tunda,hamisa nk
 
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi. Wenzako wanawatauta hao wa hivyo hawawapati. halafu wewe humtaki. Da!
 
F.u.c.k up a way that bitch......she still got a sweet pussy mother fucker......!!!!
 


Labda ulichelewa wewe tu, usikute mwenzio alishachepuka kitambo. Mkuu, kuchepuka hakuepukiki kama wewe uliweza basi juwa hata mwenzio pia anaweza. Ni moyo tu wa mtu ila nijuavyo mimi....karibia couples nyingi zinachepuka, usimcheke mwenzio kutochepuka, usikute na yeye pia anakuonea huruma kwa nini usichepuke uonje raha ya kuibiana.
 
Mimi nakushauri kitu kimoja tu jaribu kutafuta mchepuko ambao naomba Mungu uwe na tabia zifuatazo:- ukuchune hela kila siku, uwe na papuchi kubwa, uwe na mdomo mchafu uwe na midume mingine, uwe haupokei simu mida ya kuwasiliana naye nk afu utaona umuhimu ya huyo binti sayuni wewe hujui tu thamani yake na inaonyesha hujawahi kuvurugwa na hawa wanawake
 
Pumbavu kabisa.


Mh. Waziri huoni haibu kutukana hadharani hivi.....vipi mleta mada kakugusa nini? Huku kwetu umeme unakatika kila mara, tunakosa raha kabisa tukienda Guest kuwajibika.....utatusaidiaje mkuu?
 
Shwetani mkubwa wewe! We unataka ushauriwe nini hapa! Jinsi ya kumuacha?! Hiyo dhambi iniepuke..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…