Natamani mpenzi wangu achepuke,a 'experience the difference'

 
Unakosea sana..haimanishi bikra wote ni wake bora, hata wew ulikuwaga bikra lakini kwasasa unajijua ulivyo
Watu wengi hudhani bikra ndio kigezo cha mwanamke bora, umemueleza vizuri sana kwamba hata yeye alikua bikra na sasa ananijua alivyo.
 
Iv ushawah sikia laana ya mpz wew?????naona unaitafuta na utaipata muda cyo mrf
 
Hivi wale wanaoishi kule milembe wanatorokaje jamani, maana nikama idadi inaongezeka watu wanaostahili kuwepo milembe wapo huku mtaani…!
 
Watu wanatafuta mabinti wa hivyo,,kwa hiyo we unataka gumegume au??
 
Utakua humpendi kabisa huyo dada,hebu jaribu kupata picha ingekuwa unampenda kwa dhati ungeumia kwaajili uaminifu wake?sidhani.
 
Mkuu sikushanga coz ni jambo ambalo nimeshalishuhudia kwa watu kadhaa.. Unakuta kijana ako na bint mzuri kaumbika, katulia , lakin mwanaume hataki hata kumuona,, alafu unakuta kadatishwa na kademu cha cha ajabu kinoma sema Kijanja. Kinajua kutupia nn. Hapo kijana kafika..

Wakati mwingine nafikiri hata ushamba wa binti unachangia jambo kama hilo kutokea ila akishajifanya ametulizana Atakua wakuambulia maumivu kila siku..
 

Nipe namba yake nimsaidie uchepuka
 

Mwambie akuache

Mkataa pema pabaya panamwita.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…