Natama siku moja serikali itangaze kubinafsisha mlima kilimanjaro tuone kitakachojiri kwa wakaazi wanaozunguka maeneo hayo , tumeona nyamongo, bulhankulu huko.shinyanga, mirerani , longido na kwingineko hembu wajaribu na huku nchi izaliwe upya.
wanajua tu!Natamani tu halafu nione watu wahuko watachukua hatua gani watakubali au watakataa manake huwa wenyewe wanajiona wanajua sana.
Natamani tu halafu nione watu wahuko watachukua hatua gani watakubali au watakataa manake huwa wenyewe wanajiona wanajua sana.
Halafu krismasi watu waende wapi?
AAAH,RAHA YA KRISMAS MLIMANI BWANA,MBUZI ZIKICHOMWA MIGOMBANI WALAHI HARUFU YAFUKIZA UZURI MASHAULLAH:tonguez:Tutakuja hukuhuku,imeshatokea tukawa nao.
Natamani tu halafu nione watu wahuko watachukua hatua gani watakubali au watakataa manake huwa wenyewe wanajiona wanajua sana.
Dada lyinga naona unajaribu kukimbia kivuli chako! Unless hilo jina "umekopeshwa" watu wa huko ni kweli wanajua jua sana tu...ila hawana ujuaji ka huu nilio quote hapa!
Anaeweza kuubinafsisha huo mlima aje tu! Anakaribishwa na tutampa ushirikiano kukuza utalii!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
mlima k'njaro upo tz,,tz tiar ishabnafcshw ndo maana kila m2 anachukua chake kwaiyo hata mlma wenyew ushabnafcshw mkuuu