-Napenda niishi maisha ya kawaida chuoni.
-napenda nipate partner atakayeijua vema hali yangu.
-Atakayekua tayari ku-share boom lake na mimi napokuwa nimesota.
-Atakayekuwa hababaishwi na washkaji wenye pesa na masharobaro.
-Atakayekuwa akitilia mkazo jambo zima la kupiga msuli na kuepuka supplimentary na ku-discontinue
-atakayekuwa yupo Tayari muda wowote nitakapo mhitaji.
-The one who values the Privilege of Education that she got among thousands to whom in one way or another failed to make it.
-The one who will be ready anytime to remind me to get back on my normal life whenever i start to go the wrong way of living...i guess ukimpata demu kama huyu atakuwa catalyst yako nzuri ya Maisha ya kimasomo chuoni.
So watchout my fellow first years...one mistake in life can make your life miserable!
Huu ujumbe wako ni mzuri na wenye manufaa, haswaa kwa mwaka wa kwanza wenzio ambao ndio mnajiandaa kuanza chuo.
Ila tatizo ni kwamba huku ulipoleta au kuwasilisha huu ujumbe wako, sio mahala sahihi hata kama ni jukwaa la MMU.
Fanya tafiti kwenye nyuzi kama kumi, halafu angalia wachangiaji utagundua wengi ni watu wenye uzoefu wa mapenzi kwa namna moja hama nyingine.
Sasa ili lengo lako litimie kwa ujumbe wako huu, fanya uupeleke jukwaa la elimu, kwani dhamira kubwa ya ujumbe wako imeelemea kwenye "mahusiano ya kimapenzi chuoni".
ukienda chuo kafanye kilichokupeleka....mapenzi utayakuta tu...mnakimbilia wapi?
Endelea kusubiri bado hajazaliwa.-Napenda niishi maisha ya kawaida chuoni.
-napenda nipate partner atakayeijua vema hali yangu.
-Atakayekua tayari ku-share boom lake na mimi napokuwa nimesota.
-Atakayekuwa hababaishwi na washkaji wenye pesa na masharobaro.
-Atakayekuwa akitilia mkazo jambo zima la kupiga msuli na kuepuka supplimentary na ku-discontinue
-atakayekuwa yupo Tayari muda wowote nitakapo mhitaji.
-The one who values the Privilege of Education that she got among thousands to whom in one way or another failed to make it.
-The one who will be ready anytime to remind me to get back on my normal life whenever i start to go the wrong way of living...i guess ukimpata demu kama huyu atakuwa catalyst yako nzuri ya Maisha ya kimasomo chuoni.
So watchout my fellow first years...one mistake in life can make your life miserable!
Hapa kweli NILIKURUPUKA nagundua hili sasa hivi hizi bangi za kuvutia chooni bwana!