ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
- Thread starter
- #21
sijazungumzia wanaume waliokwisha oa nazungumzia mwanaume ambaye yuko single wengi wao ni wachafu toka kwa familia zao yaani toka kwa wazazi wao yawekezekana wewe hujawahi kutana nao watu waaina hiyo ninaowazungumzia hapa ni baadhi tu ya wanaume ambao mazingira wanayoishi ni machafu tena sana
wengine wako bize kutafuta shilingi ilhali sehemu wanaoyoishi ni chafu na wao wenyewe ni wachafu kuoga kwao ni weekend after weekend,
usiombe ukakutana nao watu kama hawa bestito nielewe wako watu wa aina hii ndo mana nimesema hapo kwani nimefanya utafiti na nikagundua dawa yao kuwaponya watu waaina hii ni kuwaeleza wazi bila ya kuwaficha chochote nielewe bestito

Kuna kitu siwezi kukubaliana na wewe kamwe hii ya kusema wanaume ni wachafu. Ukikuta mwanaume ni mchafu jua moja kwa moja mkewe ni mchafu haswa. Mwanamke wajibu wake ni kuhakikisha usafi wa mume. familia na mazingira. Mwanaume wajibu wake ni kuhakikisha kuwa kipato cha kuweza kumudu mahitaji kipo. hii kauli yako naipinga kwa nguvu zangu zote. Siyo kwa kuwa nina mwanaume ninayempenda sana hapana. Kauli imekaa vibaya kama kuvunjiana heshima. pia naona jinsi wanawake mnavyosahau wajibu wenu. More respects to all men.