Natamani kuwa Sniper

Nafikiri mpaka ujiunge jeshi, inategemea na score zako katika mtihani na ulengaji wako.

Jeshi la South Africa kusaidiana na USA walikuwa na shule ya kufundisha snipers sijui kama bado ipo
Lakini ni kwa wazawa tu

Kenya wanao sniper pia kwa kulinda rhinos ambapo wamepewa mafunzo na wababe SAS wa UK

Sina uhakika kama kuna shule Tz zaidi ya jeshini
 
acha
Mimi ni mrefu futi 6.1 nataka nijifunze kung Fu. Nataka niwe natembeza mateke ya fasta ngumi sipigi. Na kuwa sniper napenda maana waliniudhi wale mafala walipoteza risasi kama 30 afu Tundu lisu bado anapiga mluzi
ushetani wewe mwehu
 
Iz movie za Hollywood zinaharibu sana watoto
 
Mimi nataka kuwa msoja mpaka leo ndoto yangu haijafa... Sema umri unataka kunikimbia wa kujiunga jkt
 
Mzee baba je unajua kupata tageti vizuri japo kwa kutumia manati? "Shabaha kali" ni kipaji cha kuzaliwa nacho jipime kwanza kwa kutumia manati, ukiona upo safi hapo basi jua wewe ni miongoni mwa masniper ambao bado hawajajitanabahi.
 
Interested
Inshaallah [emoji119]
 
Mimi nataka kuwa msoja mpaka leo ndoto yangu haijafa... Sema umri unataka kunikimbia wa kujiunga jkt
Mimi pia nilihitaji sana, ila mpaka hapa nilipo, nimebaki na tumaini dogo sana!
Inshaallah huenda nikapa zali nikatimiza ndoto yangu hiyo [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…