Ntemi Kazwile JF-Expert Member Joined May 14, 2010 Posts 2,182 Reaction score 309 Mar 15, 2011 #1 Ukiwa Mzanzibar unapata umeme bila mgao, Ukiwa Mzanzibar unaweza kumiliki shamba Micheweni (Zanzibar) na jingine ukamiliki Dakawa (Morogoro), Ukiwa Mzanzibar unaweza kupiga kura kumchagua Diwani na Mbunge Tandika (Temeke) au Mji Mkongwe (Zanzibar), Ukiwa Mzanzibar unaweza kuishi Sengerema (Mwanza) bila kubaguliwa kutokana na dini yako au kabila lako au ukaamua kuishi Bujibuji (Zanzibar), Ukiwa Mzanzibar unaweza kuwa Diwani wa Katoro (Geita) au diwani wa Micheweni (Zanzibar).... kwa raha zako
Ukiwa Mzanzibar unapata umeme bila mgao, Ukiwa Mzanzibar unaweza kumiliki shamba Micheweni (Zanzibar) na jingine ukamiliki Dakawa (Morogoro), Ukiwa Mzanzibar unaweza kupiga kura kumchagua Diwani na Mbunge Tandika (Temeke) au Mji Mkongwe (Zanzibar), Ukiwa Mzanzibar unaweza kuishi Sengerema (Mwanza) bila kubaguliwa kutokana na dini yako au kabila lako au ukaamua kuishi Bujibuji (Zanzibar), Ukiwa Mzanzibar unaweza kuwa Diwani wa Katoro (Geita) au diwani wa Micheweni (Zanzibar).... kwa raha zako
mchakavumlasana JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 389 Reaction score 213 Mar 15, 2011 #2 dahhhhh!!!!!!!!
BinMgen JF-Expert Member Joined Jun 18, 2008 Posts 1,868 Reaction score 308 Mar 15, 2011 #3 ukiwa mzanzibar unaweza kuwa makamo wa raisi wa tanganyika
Pepombili JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 439 Reaction score 58 Mar 15, 2011 #4 Ukiwa Mzanzibari pia unaweza kuwa raisi wa tanganyika bila wasi wasi mfano DR mwinyi alikuwa mbunge mkuranga sasa mbunge kwahani watu wewe znz raha kweli wazanzibari ndio vichwa vya tanganyika.
Ukiwa Mzanzibari pia unaweza kuwa raisi wa tanganyika bila wasi wasi mfano DR mwinyi alikuwa mbunge mkuranga sasa mbunge kwahani watu wewe znz raha kweli wazanzibari ndio vichwa vya tanganyika.
NATA JF-Expert Member Joined May 10, 2007 Posts 4,492 Reaction score 1,314 Mar 15, 2011 #5 Ukiwa mzanzibar waweza kuwa waziri kiongozi zenji na badae wa mambo ya ndani tz bara
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,007 Mar 15, 2011 #6 Bora nibaki mtanganyika katika shida kuliko kuwa mmwinyi katika starehe!