Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,314
- 34,357
Hiyo ni NIT vipi vyuo vingine? Au IT inatolewa na NIT pekee kiasi kwamba u rule out kwamba inatakiwa D ya hesabu?hiyo ni NIT
Hiyo ni NIT vipi vyuo vingine? Au IT inatolewa na NIT pekee kiasi kwamba u rule out kwamba inatakiwa D ya hesabu?hiyo ni NIT
Mkuu acha sound, upo kariakooWengi humu wanakariri Maisha F ya math sio kitu Mimi Nina F ya math form six na nipo mwaka wa tatu bachelor ya computer science hapa IAA
vyuo vyote qualifications ni sawa acha uzwazwa wewe unaonekana hata vitu hujuiHiyo ni NIT vipi vyuo vingine? Au IT inatolewa na NIT pekee kiasi kwamba u rule out kwamba inatakiwa D ya hesabu?
anatupanga eti F ya math form 6Mkuu acha sound, upo kariakoo
sound hizoWengi humu wanakariri Maisha F ya math sio kitu Mimi Nina F ya math form six na nipo mwaka wa tatu bachelor ya computer science hapa IAA
waache wadanganyane hao inaonesha hata masomo ya IT hawayajuiLakini kama hujui hesabu masomo ya IT huyoboi asee asikudanganye mtu IT ni logic make unasoma circuit na programming
vyuo vya michongo hivyo inaonesha ndio ulipopitia huko kwenye michongo na rushwaMkuu inaonesha huna kwenye hii dunia ya kisasa. Nyie ndio wale wanaosema ili mtu asome PCM au EGM au PGM basi lazima awe na A au C ya basic maths!
Dunia imebadilika mzee acha kuwa primitive! Kuna watu wana hizo F za hesabu na leo ni mainjinia wakubwa kwenye hili taifa! Sasa jiulize hako ka IT kako na engineering ni kipi kina hesabu?! Ukipata jibu badili mentallity yako!
NB: kuna chuo kimoja kiko canada kinachukua mpaka watu waliosoma sociology katika degree za data science na ML na wanasoma wanamaliza! Sasa ML na IT ni kipi kina hesabu?
atasomaje diploma miaka 2 wakati katokea form 4 lazima aanze level 4 ambayo ni certificate mpaka amalize diploma ni miaka 3Ili uweze win kitu chochote,first fall in love then juhudi na executable plan,mm nataka baada ya miaka 5 niwe na degree ya IT.
Nenda kasome deploma ya IT{2} yrs then degree 3yrs hakikisha unanunua pc yako ,łąki 3 hukosi used one.
Nenda engineer mtarajiwa ninauhakika utaweza kwakua nia ipo
Aisee msalimie sana Yusuph Liechuka na Bakari Ally, watoto wa Old hostel na New hostel, Michael muuza chakula waambie kijana wa white house anawasalimia sana 😂😂😂Wengi humu wanakariri Maisha F ya math sio kitu Mimi Nina F ya math form six na nipo mwaka wa tatu bachelor ya computer science hapa IAA
Inaonesha tunaongea na vikinda (vitoto vidogo bado vinanuka maziwa kabisa).vyuo vya michongo hivyo inaonesha ndio ulipopitia huko kwenye michongo na rushwa
sijajiunga humu 2022 kuwa na adabu na wakubwa zakoInaonesha tunaongea na vikinda (vitoto vidogo bado vinanuka maziwa kabisa).
We jamaa bwana. Unanikumbusha jamaa mmoja aliyekuwa best student chuo fulani yeye Advance kasoma masomo ya arts na chuo akaenda kusoma Accounting akafaulu kuwazidi waliosoma Commerce na Economics na wala hakuyasoma masomo hayo O level. Alafu akafaulu field ya CRDB, na uko field akafanya maajabu akapewa zawadi. Baada ya chuo tu CRDB hao wakachukua mtu wao.unaongea nini wew kwahyo mtu mwenye F ya math akasome IT. labda mchukue kwenye chuo chako
siku hizi elimu imekuwa rahisi sana sio kama enzi zetu 😂 😂 😂We jamaa bwana. Unanikumbusha jamaa mmoja aliyekuwa best student chuo fulani yeye Advance kasoma masomo ya arts na chuo akaenda kusoma Accounting akafaulu kuwazidi waliosoma Commerce na Economics na wala hakuyasoma masomo hayo O level. Alafu akafaulu field ya CRDB, na uko field akafanya maajabu akapewa zawadi. Baada ya chuo tu CRDB hao wakachukua mtu wao.
Katafute IT gurus mjini uone wangapi wana A or B za hesabu, wengine vilaza waliitwa. Uzuri wa IT hata kama sina cheti cha O level ila nina cha Huawei au Ericsson online course napata kazi nikiprove practically naiweza.
umeiweka vyema sana. nadhan wameelewaKuna IT ya kusolve solve. Hiyo kama Math hukuwa vyema kutoboa ni ngumu.
Kuna IT ya kufundishwa mambo ya IT moja KWA moja ,kwamba ukibonyeza hapa inakuwa hivi,pale inakuwa hivi. IT hii hata kama ulifeli shule wawezakuwa mtaalam. Ni kama jinsi ya kutumia simu kuna Watu ni watundu ile mbaya kwenye simu. Ila hesabu walifeli.
Ilo linawezekan kote duniani hata wakisema hkl asome medicine mbona anasoma na nakuwa vyema tu sema shida ni mifumo ya nchi wew unaamini cbg au cbn hawez kusomea udakitar tz lakin ughaibuni anasoma fresh .....hujiuliz why cbn apate one ya 6 BBB lakin pcb ana CCD anachukua medicine sasa kati ya huyo mwenye sita na huyo mweny kumi nani ana uwezo mkubwa jibu ni huyo mwenye 6 lakin sera mbovu za kijinga na kipimbavu zimefany vijan weng kuishia sehem isiyo sahihiMkuu inaonesha huna kwenye hii dunia ya kisasa. Nyie ndio wale wanaosema ili mtu asome PCM au EGM au PGM basi lazima awe na A au C ya basic maths!
Dunia imebadilika mzee acha kuwa primitive! Kuna watu wana hizo F za hesabu na leo ni mainjinia wakubwa kwenye hili taifa! Sasa jiulize hako ka IT kako na engineering ni kipi kina hesabu?! Ukipata jibu badili mentallity yako!
NB: kuna chuo kimoja kiko canada kinachukua mpaka watu waliosoma sociology katika degree za data science na ML na wanasoma wanamaliza! Sasa ML na IT ni kipi kina hesabu?
labda tuwaulize madaktari somo gani linahitaji Hesabu na Physics huko vyuoni?Ilo linawezekan kote duniani hata wakisema hkl asome medicine mbona anasoma na nakuwa vyema tu sema shida ni mifumo ya nchi wew unaamini cbg au cbn hawez kusomea udakitar tz lakin ughaibuni anasoma fresh .....hujiuliz why cbn apate one ya 6 BBB lakin pcb ana CCD anachukua medicine sasa kati ya huyo mwenye sita na huyo mweny kumi nani ana uwezo mkubwa jibu ni huyo mwenye 6 lakin sera mbovu za kijinga na kipimbavu zimefany vijan weng kuishia sehem isiyo sahihi
Kingin wanafany hivyo kupunguz ushindani tu sio kwamba hataweza maisha ya mwanadam kama umesoma biology kuna theory za evaluation kwenye natural selection ko hakuna asieweza ikiwa mazingira yatakuchagua kufany icho kitu utawez tu ingawa unaweza usiwe na ile kasi kubwa ya ku adapt ila muda unavyoenda utaweza kuendana na mazingira ya icho kitu unachokifany
Yapo masom sub course lakin huwez niambie mtu mweny huo ufaulu akashindwa hesabu za kitot kama zile easy sana broo sema hapa serikal imetupigalabda tuwaulize madaktari somo gani linahitaji Hesabu na Physics huko vyuoni?