Amani musa
New Member
- Mar 10, 2024
- 1
- 1
Nina umri wa miaka 26, nimehitimu Kidato cha Nne Mwaka 2016 na matokea nina C flat 5 na D ya History na Chemistry na F ya Fizikia na Hesabu ndoto yangu ni kuwa na bachelor ya IT nifanyaje wakuu?
Nenda kasome mkuuNina miaka 26 Nimemaliza kidato cha nne 2016 na matokea n ina C flat 5 na D ya history na chemistry na F ya fizikia n hesabu ndoto yangu ni kuwa n bachelor ya it nifanyaje wakuu
hawezi kusoma na F ya mathNenda kasome mkuu
Nani kasema hawezi? Matokeo ya form4 au 6 hayana uhusiano na mambo ya chuo.hawezi kusoma na F ya math
unaongea nini wew kwahyo mtu mwenye F ya math akasome IT. labda mchukue kwenye chuo chakoNani kasema hawezi? Matokeo ya form4 au 6 hayana uhusiano na mambo ya chuo.
Kama kweli ana nia akasome hiyo mentality sijui ya F sijui nini imegharimu ndoto za watanzania wengi sana.
watataka D ya mathAnzia Certificate! Kila kitu kinawezekana
Hiyo wanaweka kama kigezo tu lakini kuna watu wanaijua sana IT na walifaulu masomo ya Arts tuSasa umefeli hesabu na physics utasomaje hiyo course?
History hapo ya kazi gani mzee?
Nakubaliana na wewe kwa 100% hata Software engineers wengi maarufu duniani hawakuwa mathematiciansNani kasema hawezi? Matokeo ya form4 au 6 hayana uhusiano na mambo ya chuo.
Kama kweli ana nia akasome hiyo mentality sijui ya F sijui nini imegharimu ndoto za watanzania wengi sana.
hujaambiwa lazima uwe mathematician naomba uelewe kitu kimoja. IT haiusiani na kujua math hata mimi nimesoma IT nina degree na sio mzuri wa math. Ila vigezo vya kuanza kusoma IT kuanzia Certificate na Diploma lazma uwe na D ya math. sasa wewe una F ya math itawezekanaje hapo.Nakubaliana na wewe kwa 100% hata Software engineers wengi maarufu duniani hawakuwa mathematicians
Coding, Software installations,Networking zote anafanya yeyote
sasa atasomaje wakati vigezo vinataka kuanzia D ya mathHiyo wanaweka kama kigezo tu lakini kuna watu wanaijua sana IT na walifaulu masomo ya Arts tu
Na Kuna PCM's na PCB's hawaijui sana
Nafikiri IT ni Hobby au Interest ya Mtu tu
Bill Gates na kina Steve Jobs hata hesabu hawakuwahi kuifaulu tena hata shule hawakumaliza ila wamefanya makubwa kuliko sisi na A na B zetu
Ndio nakuambia hicho kigezo cha D ya Math haina mchango wowote kwenye Information Technology.hujaambiwa lazima uwe mathematician naomba uelewe kitu kimoja. IT haiusiani na kujua math hata mimi nimesoma IT nina degree na sio mzuri wa math. Ila vigezo vya kuanza kusoma IT kuanzia Certificate na Diploma lazma uwe na D ya math. sasa wewe una F ya math itawezekanaje hapo.
sijakwambia math ndio inakufanya kuwa IT ila ili upate iyo bachelor ya IT math lazima uwe na D na aanze na certificate kama mna vyuo vyenu nendeni kasomeni na hiyo F ya mathNdio nakuambia hicho kigezo cha D ya Math haina mchango wowote kwenye Information Technology.
Mimi nilifaulu vizuri sana Math lakini kuna Staff waliosoma Arts na F zao za Hesabu na wengine waliacha kabisa Physics lakini ofisini hao ndio wanatoa solutions kwenye mfumo
Na watu wa Networking wengine ni Form IV failures waliosoma mtaani kwenye colleges
Sijui kama unaelewa
Lakini kama hujui hesabu masomo ya IT huyoboi asee asikudanganye mtu IT ni logic make unasoma circuit na programminghujaambiwa lazima uwe mathematician naomba uelewe kitu kimoja. IT haiusiani na kujua math hata mimi nimesoma IT nina degree na sio mzuri wa math. Ila vigezo vya kuanza kusoma IT kuanzia Certificate na Diploma lazma uwe na D ya math. sasa wewe una F ya math itawezekanaje hapo.
Anasoma vizuri tu, kwa sababu wapo wengi waliosoma bila kufaulu phys na math na sasa ni expert wa IT.hawezi kusoma na F ya math
Huyo jamaa anaishi zama za mawe za kale. Hana exposure yoyote.Anasoma vizuri tu, kwa sababu wapo wengi waliosoma bila kufaulu phys na math na sasa ni expert wa IT.
Mkuu inaonesha huna kwenye hii dunia ya kisasa. Nyie ndio wale wanaosema ili mtu asome PCM au EGM au PGM basi lazima awe na A au C ya basic maths!sijakwambia math ndio inakufanya kuwa IT ila ili upate iyo bachelor ya IT math lazima uwe na D na aanze na certificate kama mna vyuo vyenu nendeni kasomeni na hiyo F ya math