Natamani kusoma Australia

Kuna dogo alienda form five na 1.7 form six katoka na 3.15
Ndio maana nimemwambia afaulu kwanza, PCM, PCB, PGM zinaaibisha watu sana Advance.

Ushaidi kama huu na mimi pia ninao, vipanga wengi wa Olevel walikalishwa chini Advance
 
Ndio maana nimemwambia afaulu kwanza, PCM, PCB, PGM zinaaibisha watu sana Advance.

Ushaidi kama huu na mimi pia ninao, vipanga wengi wa Olevel walikalishwa chini Advance
Kabisa Kaka unaweza jiamini alafu siku ya matokeo ukaogopa hata kusalimia watu
 
Hivi hizi scholarship zina age limit?
 
Habari wakuu
Elimu yangu Ni kidato cha sita comb pcm ndio nasubiri matokeo mwakahuu nawezaje kupata scholarship nchini Australia maana imekua Ni ndoto yangu kusoma uko lakini sina uwezo
bila kufanya mtihani wa Lugha au Hesabu hauwezi kupata
 
Lazima tumwambie ukweli, matokeo ni kitu cha surprise sana
Matokeo si kitu cha surprise jinsi unavyoperfom tangu mwanzo na matokeo yanakuja hivyo hivyo, surprises zinakuja pale unapozembea na kupunguza juhudi ya kusoma.
Dogo Kama anajiamini atafaulu Basi atafaulu kweli Kama alivyotarajia.
Wanaojiamini wengi ni vichwa
 
Kujiamini ndio huwa panaponza sana mambo yatakapokuwa tofauti, bora uwe katikati ili yakiharibika usikose sababu ya kusema.
 
Habari wakuu
Elimu yangu Ni kidato cha sita comb pcm ndio nasubiri matokeo mwakahuu nawezaje kupata scholarship nchini Australia maana imekua Ni ndoto yangu kusoma uko lakini sina uwezo
Vipi matokeo yako??
 
Natamani kusoma masters ila nishazoea ka hela moyo unasita๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ