Asantee kiongozi nitacheza part yangu vizuriKarb bro
jiandae kulala na viatu
#hawaeleweki
Voxser empire
UPO TAYARI KULIZWA TENA MKUU, usione sisi hatuanzishi thread kama yako ukadhani hatutaki kupenda ,tunataka,but wakupendwa hawapo,yani kuna muda unakaa unasema nikimpata aliyetulia ntamfanyia hivi na hivi lakini ghafla unaskia sauti inatoka ndani ya akili yako inasema "acha ufala utakufa?Baada ya kuchezea kibuti miaka miwili iliyopita na kuapa kutokupenda tena ghafla nimejikuta natamani kupenda tena,natamani kuwa na wangu tena,niwe na wivu nae nimpende kuliko chochote.
Hakuna kitu kizuri kama kupenda nitapends tena haijalishi nitampata wapi iwe mtwani,kanisani,jamii forums au maeneo ya starehe
Nipo tayari kupenda na kwa maanw hiyo basi nipo tayari kuumia pia kama mambo yakienda ndivyo sivyo.
Nitaleta hicho kisa cha huyo ex wangu miaka miwili iliyopita soon
Sent using Jamii Forums mobile app
sureUPO TAYARI KULIZWA TENA MKUU, usione sisi hatuanzishi thread kama yako ukadhani hatutaki kupenda ,tunataka,but wakupendwa hawapo,yani kuna muda unakaa unasema nikimpata aliyetulia ntamfanyia hivi na hivi lakini ghafla unaskia sauti inatoka ndani ya akili yako inasema "acha ufala utakufa?
Hahaha umenifanya nicheke sana kakaUPO TAYARI KULIZWA TENA MKUU, usione sisi hatuanzishi thread kama yako ukadhani hatutaki kupenda ,tunataka,but wakupendwa hawapo,yani kuna muda unakaa unasema nikimpata aliyetulia ntamfanyia hivi na hivi lakini ghafla unaskia sauti inatoka ndani ya akili yako inasema "acha ufala utakufa?
si wengine kupenda ili kula umbwaBaada ya kuchezea kibuti miaka miwili iliyopita na kuapa kutokupenda tena ghafla nimejikuta natamani kupenda tena,natamani kuwa na wangu tena,niwe na wivu nae nimpende kuliko chochote.
Hakuna kitu kizuri kama kupenda nitapends tena haijalishi nitampata wapi iwe mtwani,kanisani,jamii forums au maeneo ya starehe
Nipo tayari kupenda na kwa maana hiyo basi nipo tayari kuumia pia kama mambo yakienda ndivyo sivyo.
Nitaleta hicho kisa cha huyo ex wangu miaka miwili iliyopita soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Baki hvyo hvyo kakaBaada ya kuchezea kibuti miaka miwili iliyopita na kuapa kutokupenda tena ghafla nimejikuta natamani kupenda tena,natamani kuwa na wangu tena,niwe na wivu nae nimpende kuliko chochote.
Hakuna kitu kizuri kama kupenda nitapends tena haijalishi nitampata wapi iwe mtwani,kanisani,jamii forums au maeneo ya starehe
Nipo tayari kupenda na kwa maana hiyo basi nipo tayari kuumia pia kama mambo yakienda ndivyo sivyo.
Nitaleta hicho kisa cha huyo ex wangu miaka miwili iliyopita soon
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ila fuata huu UshauriBaada ya kuchezea kibuti miaka miwili iliyopita na kuapa kutokupenda tena ghafla nimejikuta natamani kupenda tena,natamani kuwa na wangu tena,niwe na wivu nae nimpende kuliko chochote.