Natamani kuoa Muzungu...!!!!!

Natamani kuoa Muzungu...!!!!!

Gefu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
6,929
Reaction score
2,567
Mazee baada ya misele ya kutosha sasa naona nivute mzungu!!!!!!!!!!
Kiukweli wazungu wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda uharibu, hapo hakutakalika !!!!!

Mzungu mwenyewe awe kutoka kwa Obama, uingereza na vinchi vingine, ikiwa pamoja na wale wanaoishi bongo nitawafikiria baadae sana.

Suala la ngozi nyeupe sijui ni wabaridi, tutawasha hita huko mtoni mambo yatakwenda freshhh.

Kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
alete cv nimuasesi kwanza.:welcome:

cc Heaven on earth
 
alete cv nimeasesi kwanza.:welcome:
We Gefu kwanza ubuheri ? Mbona umekuja na speed hivyo? si ungeaanza na wahindi au waarabu au hata wachina. Mara moja wadhunghu!! mmhh Sawa mkuu basi ujaaliwe Mcanada bomba!!
 
Haya bana c unajua hata warang ni weupe man

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mazee baada ya misele ya kutosha sasa naona nivute mzungu!!!!!!!!!!
Kiukweli wazungu wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda uharibu, hapo hakutakalika !!!!!

Mzungu mwenyewe awe kutoka kwa Obama, uingereza na vinchi vingine, ikiwa pamoja na wale wanaoishi bongo nitawafikiria baadae sana.

Suala la ngozi nyeupe sijui ni wabaridi, tutawasha hita huko mtoni mambo yatakwenda freshhh.

Kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
alete cv nimuasesi kwanza.:welcome:

cc Heaven on earth

Ipo siku utagundua kuwa mzungu ni sawa na binadamu mwingine yeyote tu. pengine utakuwa umechelewa. Kila la kheri!
 
Mazee baada ya misele ya kutosha sasa naona nivute mzungu!!!!!!!!!!
Kiukweli wazungu wana mapenzi ya dhati,wakikupenda
wamependa labda uharibu, hapo hakutakalika !!!!!

Mzungu mwenyewe awe kutoka kwa Obama, uingereza na vinchi vingine, ikiwa pamoja na wale wanaoishi bongo nitawafikiria baadae sana.

Suala la ngozi nyeupe sijui ni wabaridi, tutawasha hita huko mtoni mambo yatakwenda freshhh.

Kama kuna mzungu yoyote hapa JF naakaona hili bandiko jamani
alete cv nimuasesi kwanza.:welcome:

cc Heaven on earth

Hapo kwenye RED umeua mkuu, nimecheka mpaka machozi yamenitoka. Dah! JF kibokooooo.
 
Chief wapo wengi sana pale picolo hususan siku za ijumaa. Au level 8 pale napo mzuka ila beware ya wazungu wa rufiji.
 
Back
Top Bottom