Natamani kuoa Muzungu...!!!!!

Natamani kuoa Muzungu...!!!!!

Gefu una haki ya kuoa umpendaye..ushauri wangu kwako kiongozi ni kuoa kutokana na mapenzi yako kwani mapenzi hayachagui rangi, dini wala tabaka..
 
Haya bana c unajua hata warang ni weupe man

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

haha..na kama yuko moshi mitaa ya kindoroko na la liga inamhusu sn..kwa arusha viavia na masai camp...na uvae matshrt zenye nembo za africa
 
Back
Top Bottom