Gefu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 6,929
- 2,567
- Thread starter
- #21
We Gefu kwanza ubuheri ? Mbona umekuja na speed hivyo? si ungeaanza na wahindi au waarabu au hata wachina. Mara moja wadhunghu!! mmhh Sawa mkuu basi ujaaliwe Mcanada bomba!!
...mkuu niko poa, kwenye utangulizi nimeeleza wazi kiongozi kwamba baada ya misele ya kutosha, so huko kote nimeona kuna mapungufu. nimeangukia udhunguni...