natamani kuoa jamani ndani ya mwaka huu 2014

nyamatoke

Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
31
Reaction score
3
wana jf,huu ndo mwaka niliojipangia kuoa,ni kweli na wazi kwamba wasichana hawana ukweli ila ni matarajio yangu kuoa.kwa mdada aliyeko tayari na mwaminifu naomba 2wasiliane,asiwe mtu wa k'njaro au iringa.awe na kazi inayotambulika...umri 18-24
 
Loh! Baba mpare mama mbena....
 
Daah kweli Mkuu bora uoe ciunajua huu mwaka unagawanyika kwa mbili lazma watu tuwe wawili wawili ...
 
Kwa kigezo chako cha ubaguzi ulichoanza nacho hautapata mke.
 
wana jf,huu ndo mwaka niliojipangia kuoa,ni kweli na wazi kwamba wasichana hawana ukweli ila ni matarajio yangu kuoa.kwa mdada aliyeko tayari na mwaminifu naomba 2wasiliane,asiwe mtu wa k'njaro au iringa.awe na kazi inayotambulika...umri 18-24

Hujatambua hata lengo lako, huo uchumba utakuwa wa miezi mingapi?
 
Mwaga sifa zako hapa jamvini kisha na vigezo ambavyo kwako wewe ni vya muhimu awe navyo mke mtarajiwa. Wachumba wa maana sana wako hapa jamvini.
 
Back
Top Bottom