agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,414
Mwalimu wako wa primary ana 40 perhaps you are 15yrs oldHivi ni kweli kuna mwanaume anakosa mwanamke wa kumuoa mpaka anakata tamaa ya kuwa na familia.?
Kuna Mwalimu wangu wa primary kwa sasa anakimbilia 40 lakini hana mke wala mtoto,ukipiga nae story mbili tatu lazima aingize habari ya kukosa mke..
huwa nakosa majibu ni kweli anakosa mke au ana tabia zinazomkosesha mke!?.
Nina 25+Mwalimu wako wa primary ana 40 perhaps you are 15yrs old
Kwanini umekosa.?Hata Mimi natamani kuoa ila nimekosa mke.
ILa kuna wakati ukifika unatakiwa ujiulize kwanini unakosa...labda una tabia zilizoshindikana.Kuna mke na mwanamke, jamaa namuelewa na hasa kama kuna tukio alipitia hapo nyuma.
Vigezo gani hivyo vyakumfanya afikishe 40 hana mke.?Hiyo ipo ni kutokana na vigezo na mazingira. Wakati watu wengi huwa wanadhani labda ni wanawake tuu ndio huolewa na watu wasio wapenda au wenye sifa wasizo zitaka kwa kuwa wao ndio wanatafutwa. Hii ishu ipo hata kwa wanaume, wengi sana walioa kwani time ilifika au walihisi hao wanawake ndio wako available au wanafaa kuwa kina mama wa house tu. ila si kwamba waliwapenda au walitimiza kila kigezo kinachi tafutwa. Na ndio maana bado ndoa nyingi zina feli
Mwalimu naye akipata mtu sahihi kwa wakati sahihi ataoa.
40-25=15..kindergarten to primary school almost 14yrs [emoji25] [emoji25] [emoji40] [emoji40]Kwanini umekosa.?
Chai imejaa kahawa mkuuKitendo cha mwalimu wako kuwa na miaka 40 ni kama mahesabu haya kai ujue
Kwa hiyo wewe miaka yako ni mingapi!!
[emoji15] [emoji15]
aringee!!Hiyo picha kwenye avatar ni yako?
Huwez jua anataka nn bhanaVigezo gani hivyo vyakumfanya afikishe 40 hana mke.?