kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 939
Kivipi? We huonu km wanaume twafa haraka kuliko wa kike?
Bado tu! Huoni kama wewe na mwenzio mkifuatana kututoka watoto watabaki ndio wakiwa.
Kivipi? We huonu km wanaume twafa haraka kuliko wa kike?
aisee kazi kweli kweli, sasa kama wewe ni mwanaume unakosea sana kuoa binti wa interval kubwa ya umri. Sababu ni hii na huenda nitatofautiana na watu wengi..sensa ya mwaka 2000 indicatively ilionesha kuwa wanaume wengi wanakufa kwa umri wa 10yrs or more earlier than their spouses kutokana na sababu mbalimbali ikiwepo pia na ustahimilivu wa stress. Sasa mkuu we unaoa mke wa 10yrs less kwa maana ya takwim hizo unaweza muacha akiwa bado anahitaji kuwa na partiner. So inashauriwa kuoa mke ALIYEKUZIDI UMRI angalau miaka 5-10 ili at least ukifariki usimuache mpweke kwa siku nyingi.
Ni maoni yangu tu na hata wewe unaesoma unaweza kuwa shahidi, wajane ni wengi kuliko wagane
You have a point..........tumia lugha rahisi watu tukuelewe vizuri.
Tuna tofautiana umri mkubwa sana nimemuacha 10yrs but uki tuaangalia kimuonekano wetu utasema kama tunapishana 4yrs vile,
Binti mzuri tu kisura,umbo mpaka tabia,good enough ni kua namfahamu tangu alipo kua mwanafunzi wangu alikua ana behave good class hata nje ya darasa,sijawahi kusikia skendo ya aina yoyote inayo mhusu licha ya kua darasa lao lilikua na wanafunzi walio pinda mnoo.
Wakati huo anasoma sijawahi kumtongoza wala yeye hajawahi kuonyesha sign of love kwangu,tume fall in love baada ya kukutana uraiani.
Ushauri wadau...
Watampigia tu. Huo ndio wasiwasi wangu mkubwa. Tofauti ya mIaka 10 na hizi sukari na pessure, ni lazima apigiwe tu.Na mimi nasema akimweka ndani, wampie tu.maana atakuwa amechoka.Kama wewe umemzidi miaka hiyo siyo mbaya ila lazima ujiridhishe kuwa utaweza kumtimizia haja zake ipasavyo la sivyo utakuwa ni mtu wa mawazo