nakuunga mkono swala la kujisafisha na maombi pia aiseewanasema KARMA IS A BITCH........
vyovyote vile matendo yako yanakurudia......
ushauri wangu kwako ni kuwa ndo hailazimishwi kwa kukomaa na mtu eti hadi kieleweke....
hebu jaribu kuacha kutafuta mchumba kama mwaka mzima hivi na ikibidi ufanye maombi....
halafu watafute wale wooote ulio wakosea zamani ukaombe msamaha au kuondoa 'black cloud' kati yenu....
jisafishe kwanza kwa sala na kukaa mbali na uzinzi.....na jifunze kuwa kawaida hivi.....
lizzy unalosema ni kweli,but hapa kuna tatizo la distance,hili linafanya ugumu wa kujua status ya uimara ya mapenzi yao,,but nakubaliana moja kwa moja na weweMng'oe na wewe uje kung'olewa.
Kama mtu anakupenda kwanini akupe kazi ya kumng'oa jamaa? Si amuache na kuja kwako? Kesho na kesho kutwa akirudi akakuchukulia mke kwakua huyo mke alitoka huko kwa nguvu utamlilia nani?
Kua makini mwenzio asije akakubaliwa nae baadae kwa kisingizio kama hicho hicho "nna mume wangu ila simpendi/hanivutii kama wewe".
tatizo linalokuja ni kuwa anadai ananipenda ila ana mpnz wake amabye hajwahi mtamkia kitu kama hicho
the boss we unataka mwenzio asipone mwaka mzimawanasema KARMA IS A BITCH........
vyovyote vile matendo yako yanakurudia......
ushauri wangu kwako ni kuwa ndo hailazimishwi kwa kukomaa na mtu eti hadi kieleweke....
hebu jaribu kuacha kutafuta mchumba kama mwaka mzima hivi na ikibidi ufanye maombi....
halafu watafute wale wooote ulio wakosea zamani ukaombe msamaha au kuondoa 'black cloud' kati yenu....
jisafishe kwanza kwa sala na kukaa mbali na uzinzi.....na jifunze kuwa kawaida hivi.....
Habari wakubwa wenzangu wa jukwaa hili,,,natumai tu wazima wote wa afya njema..
nakuja katika jukwaa hili nikitumaini kupata msaada na ushauri kutoka kwenu mana najua kuna watu wengi humu na waliopitia changamoto nyingi pengine hata kama yangu.
mi ni kijana mwenye makamu ya kutosha tu kuwa na familia,nimeajiriwa na nimejiajiri pia shughuli zangu binafsi zinazo nipa tu kipato cha kutosha japo si sana,kwa hilo nzweza kusema kuwa nimefanikiwa kupata vyote kasoro mwenzi wa maisha tu.
Labda nijaribu kudokeza historia yangu ya mapenzi ki ufupi pengine itatoa mwanga,,nimeshapita kwenye mahusiano mengi tu ya kutosha,nimefanya uhuni wote na mwingi tu lakini nimekuwa na bahati mbaya ya kukutana na wadada ambao wengi wao ni "wife materia" japo na machakaramu walikuwepo wengi tu..but hawa naowaita ma wife material sikutokea kuwajali wala kujua umuhimu wao,,niliwatenda kuwachanganya na kuwavunja mioyo japo wapo pia walionivunja moyo mimi kwa namna moja au nyingine kwa kunitenda..
kilichonisukuma kutaka ushauri toka kwenu ni kuwa kila ni lalapo na niamkapo neno kuoa laniijia kichwani,but wa kumuoa simpati,ni kama mwaka nw najaribu kutafuta but kila ninaye mpata sioni kama ametimiza vigezo au kama tunarandana tunaishia kupoteza muda na kuwaambia ukweli waendelee na maisha yao mana mi natafuta mwenzi wa maisha..
kuna huyu binti mmoja mabaye mara kadhaa ameniijia kwenye fikra,nikajitosa kumwambia ukweli na dhamira yangu bila kujali ya kutaka kuoa na kuwa ni yeye ndiye naye ona ananifaa,,huyu binti miaka kadhaa ya nyuma kama 9 iliyopita aliwahi kuwa mpenzi wangu japo hatukudumu sana,ila tuna vitu vingi sana in common,,tatizo linalokuja ni kuwa anadai ananipenda ila ana mpnz wake amabye hajwahi mtamkia kitu kama hicho,,tunakuwa tukichat mara nyingi tu vizuri but nakuwa na mashaka kama nikifanya sogea nikae kwake itakuwa jambo jema,,yani nikomae mpka nimng'oe jamaa,na kwa kuwa jamaa simjui pia so ni inakuwa ngumu kupigana na adui usiye mjua..
mkiwa kama marafiki zangu wa humu,naomba mnisaidie mana mpka najihisi nina gundu,,labda wale wanawake wasio kuwa na hatia sas laana yao ndo yanifata sa hv,,pia nawazaga labda sijajichanganya vya kutosha,,mara nyingine nasema labda sijawasilisha swala langu vizuri kwa Mungu au pengine wa kwangu bado hajaumbwa ndo maana.
ila cha kushangaza magube gube ndo yanajitokeza kila siku
naombeni ushauri wapendwa cha kufanya wajameni
natanguliza asante.
the boss we unataka mwenzio asipone mwaka mzima
alafu Mungu anasaidia wanaojisaidia
hapo ndo nami napojipa moyo wakati mwingine,labda ni pozi tu ila ananipenda ki ukweli kwa upande mwinginemmh, mzee una bonge la history kiasi kwamba ni bora ungeamua kubaki single tu... halafu mapenzi ya siku hizi bwana, watu hawakupi a clear-cut position, kind of sitaki nataka; yaani mtu anakuachia ka-space ka kupumua (eti nakupenda but nina mpenzi wangu) ili ukijishughulisha kidogo umpate
lizzy unalosema ni kweli,but hapa kuna tatizo la distance,hili linafanya ugumu wa kujua status ya uimara ya mapenzi yao,,but nakubaliana moja kwa moja na wewe
hapo ndo nami napojipa moyo wakati mwingine,labda ni pozi tu ila ananipenda ki ukweli kwa upande mwingine
njimjoib bj bk kkjkbibvhjhbkonob.k