Kwa nn wa Kigali sio wife material ina maaan mademu wa Dar sio wife material au kina dada wa Johannesburg?Kumuoa unaweza , lakini kuishi naye kwa tabia zetu za kibongo utaona kama upo kifungoni!!kwanza wengi wao wana mapenzi ya kweli, lakini hataki ku kusikia una kitu kinaitwa mchepuko, na kama unatoka kazini saa tisa, haakikisha saa 10, uko nyumbani, anataka muwe mnakula wote chakula!!sasa kwa tabia zetu hizi ki kiswazi , ni ngumu sana ila ukiamua utaweza, ni kama vile mzungu, hataki uongo uongo kama huu tunaowafanyia kina KURUTHUMU!!na endapo ukimuudhi wana roho mbayaaa!!kuwapata kirahisi nenda karagwe, na ngara wako teleee!!!wale wa KIGARI huwawezi na sio wife materials kabisa, ila kama una pesa unaweza mlazimisha kuwa wife materials kwa muda tu!!ila ukimpata yule wa kawaida ukaanza kumtunza, na atapendeza tu.
Unaweza kumhandle partner mbinafsi
Hapana mkuu kwa nilio associate nao hawajawahi kuwa wabinafsi kama hao unaotaka kuoa ni wana A ya ubinafsi.Ohhh kumbe n wabinafsi sana
Ila s n asili ya kina dada ?
Aahhh embu ngoja yani hao watusi kuna wenye A na E ya ubinafsHapana mkuu kwa nilio associate nao hawajawahi kuwa wabinafsi kama hao unaotaka kuoa ni wana A ya ubinafsi.
Hapana umeandika kuwa wanawake wote ni wabinafsi, nimekujibu kwa kumaanisha hao watutsi wana A ya ubinafsi tofauti na dada zetu wa hapa nyumbani Tz.Aahhh embu ngoja yani hao watusi kuna wenye A na E ya ubinafs
Ila ww uli associate na wenye E sio
Nmekuelewa mkuu asanteHapana umeandika kuwa wanawake wote ni wabinafsi, nimekujibu kwa kumaanisha hao watutsi wana A ya ubinafsi tofauti na dada zetu wa hapa nyumbani Tz.