LOVE U JF JF-Expert Member Joined Dec 9, 2015 Posts 2,157 Reaction score 1,676 Jun 14, 2020 #81 Bi dada mapenzi kitu mbaya Ila 1. Mtoto wenu yuko kwake au kwako na ana umri gani tuanzie hapo 2. Vyovyote ilivyo hyo bado anakupenda ushauri wangu km na ww still unampnda na kwa faida ya mtt rudianeni.
Bi dada mapenzi kitu mbaya Ila 1. Mtoto wenu yuko kwake au kwako na ana umri gani tuanzie hapo 2. Vyovyote ilivyo hyo bado anakupenda ushauri wangu km na ww still unampnda na kwa faida ya mtt rudianeni.
Niwaheri JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 3,481 Reaction score 5,357 Jun 14, 2020 #82 We ni kilaza sasa hii post inalenga nini nadhani hyo mwanaume aliamua kukuacha kwa sanabu akili za kukushika hamna
We ni kilaza sasa hii post inalenga nini nadhani hyo mwanaume aliamua kukuacha kwa sanabu akili za kukushika hamna
mriringa JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 783 Reaction score 835 Jun 14, 2020 #83 Selina umeamua kunidhalilisha au sio?? Huyo uliyenae sio muoaji
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,608 Reaction score 64,453 Jun 14, 2020 #84 Nyie ndo mnaowaletea single mothers mkosi, ushapata mwingine bado unamkumbuka mzazi mwenzio, rudi kwake
Nyie ndo mnaowaletea single mothers mkosi, ushapata mwingine bado unamkumbuka mzazi mwenzio, rudi kwake