Aliyenae anamega tu kisela Nani anaweza kuishi na single mother asiye na akiliMkuu Mimi nimekuuliza tu kwa mia nzuri lakini umeleta mipasho,huenda ndo maana jamaa alikuacha maana una maneno ya shombo sana, na huyo ulienaye ukidumu naye kwa miaka miwili nitakupa pesa,
Wewe una nyota ya single mother hadi kiama ya miwili,
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuuPole. Naona umetukanwa tu bila sababu yo yote. Umeomba na msamaha masikini. I feel you and thanks for taking the higher road [emoji1545]
[emoji16][emoji16][emoji16] umeanza usanii wakoNzuri...sema kukumiss tu....siku haiishi bila kukuota.
Nimecheka ulivoamua kuwa mpole,Ndo unanicheka eeh, sawa[emoji2]
Kweli.....huniamini eeeh
Hahahaa sina choiceNimecheka ulivoamua kuwa mpole,
SafiHahahaa sina choice
Nilichogundua uyu hana akili nzuri taira wa kwanza kupatikana duniani nishamsamehe!!Msamehe. AnaRESIT darasa la 2
M***eHuyo mpuuzi tu.
Hata anachokitaka hakielewi
Ni hatari sana,halafu nimemgundua kuwa hana staha mdomoni,kosa dogo tu anatokwa na maneno machafuAliyenae anamega tu kisela Nani anaweza kuishi na single mother asiye na akili
utapakatwa shauri yako. Weee endeleza ushoga tuM***e
[emoji28]Nae atakuwa jiniaz ku divert calls zako wakati simu yako unayo wewe.
Kiti cha moto[emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]factMtoa madq na hilo jamaa lako wote mna akili za kitoto. Kaeni chini myamalize mfunge ndoa. Huo ujinga mnaoufanya mnaharibu ustawi wa mtoto mliyemzaa. Pia punguza utoto sijui mwanaume wa Sasa ni handsome kuliko yeye, huo ni utoto. Mme Bora au baba Bora sio sura au six pack ni tabia upendo na kujielewa
Nenda jishushe muombe radhi halafu grow up. Umeshazalishwa hujui kuwa mtoto anahitaji malezi Bora ya wazazi wote? Hayo ma DP na maujinga ujinga yatakusaidia nini. Na elewa hata huyo uliyenae sasa anakuchezea tu hakuna mtu mwenye malengo na lidada lililozalishwa huko na m/ ume wake yupo. Anamega tu huyo
Stupid girl