NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 310
Shauri yako BujiBuji ni mtu wa misele tu ukienda huko utakufa njaa wewe nizimie mimi hapa.
Huoni Bujibuji muda wote yuko jamvini
Ondoa UNGESE wako hapa nani kakwambia kumzimia mtu lazima awe na hela, wewe una nini kwanza.[/QUOTE
hapo kwenye bold panishitua dada
Ngoja nimalizie kimeo cha mwajiri halafu ntakuja kujihendsamisha kwako.Jamani za siku, nilikuwa nimebanwa na shughuli kidogo ndo maana nikapotea wapendwa.
Hivi jamani nitampataje BujiBuji mimi namzimia sana na ningependa kukutana nae. Je unaishi mkoa gani na unafanya kazi gani? una familia au uko single?
Ngoja nimalizie kimeo cha mwajiri halafu ntakuja kujihendsamisha kwako.
Ondoa UNGESE wako hapa nani kakwambia kumzimia mtu lazima awe na hela, wewe una nini kwanza.
Ondoa UNGESE wako hapa nani kakwambia kumzimia mtu lazima awe na hela, wewe una nini kwanza.
we hujui raha ya kutongozwa nini??Kumbe na wewe una aibu na kujidai kote kule???
Funguka bana, unaniangusha
shost punguza jazba ee sote ni ndugu matusi ya nini tena si kakutania kwa nini uwe serious hovo lol
Ondoa UNGESE wako hapa nani kakwambia kumzimia mtu lazima awe na hela, wewe una nini kwanza.
Jamani za siku, nilikuwa nimebanwa na shughuli kidogo ndo maana nikapotea wapendwa.
Hivi jamani nitampataje BujiBuji mimi namzimia sana na ningependa kukutana nae. Je unaishi mkoa gani na unafanya kazi gani? una familia au uko single?