Mimi ni kijana muajiriwa
Natamani sana nijifunze program yoyote kwenye computer kupitia private chuo popote Dar pale tuu napokuwa na muda na fasi.
Ratiba yangu inaweza kuwa tofauti na wanafunzi wenzangu.
Bila kujali gharama yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app