and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,224
- 39,703
Kiukweli natamani sana nihudhurie kuapishwa kwa rais mpya wa Nigeria. Naamini ni mfano wa kuigwa kwa nchi nyingi za kiafrika
Rais Uhuru Kenyata kaahirisha kwenda baada ya wananchi wake kumlalamikia kuwa ni matumizi mabaya ya fedha kusafiri safiri. Among the presidents that listens
Wa kwetu vipi? Usikute kashafika
Kiukweli natamani sana nihudhurie kuapishwa kwa rais mpya wa Nigeria. Naamini ni mfano wa kuigwa kwa nchi nyingi za kiafrika
Wa kwetu vipi? Usikute kashafika
Tuliza bol siku si nyingi utamuona Dr. Slaa akiapishwa wakati makamanda tumemzunguka. Na baadaye waziri mkuu Tundu Lissu
tuliza bol siku si nyingi utamuona dr. Slaa akiapishwa wakati makamanda tumemzunguka. Na baadaye waziri mkuu tundu lissu
Wa kwetu vipi? Usikute kashafika
Huyo tena!? Unauliza majibu Mkuu! Na hivi kabakisha miezi michache ya kuongeza deni la Taifa. Kiguu na njia kama kazi labda iwe walimsahau kumualika.
Rais Uhuru Kenyata kaahirisha kwenda baada ya wananchi wake kumlalamikia kuwa ni matumizi mabaya ya fedha kusafiri safiri. Among the presidents that listens
Huyo alikuwa anamuunga mkono Jonathan
UnaotaTuliza bol siku si nyingi utamuona Dr. Slaa akiapishwa wakati makamanda tumemzunguka. Na baadaye waziri mkuu Tundu Lissu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tuliza bol siku si nyingi utamuona Dr. Slaa akiapishwa wakati makamanda tumemzunguka. Na baadaye waziri mkuu Tundu Lissu