funduku
Senior Member
- May 2, 2013
- 131
- 36
Jamani wana jf naomba ushauri, sijui kama ninamapungufu au vipi... maana katika siku za hivi karibuni nimeingiwa na hali ya kutamani kufuga nyoka hapa nyumbani kwangu, sasa sijui kama ni tatizo au vipi mwenzenu mpaka napata hisia za kuunga urafiki na wadudu hawa hatari.